Kumbe hata Vigogo wa Serikali ya CCM wanafuatilia harakati za Tundu Lissu

Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma.
Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa wizara nyeti ya serikali hapa jijini Dodoma.

Wakati tumengia kitandani, akaanza kunisimulia stori ya kufurahisha sana ambayo imetokea hivi majuzi tu hapo ofisini kwao.

Stori yenyewe ilikuwa hivi;
Yeye (mpenzi wangu) alikuwa anampelekea boss wake (top official) wa wizara mafaili kadhaa ambayo ilibidi yasainiwe.
Alipofika ofisini kwa huyo kigogo alisukuma mlango akaingia ndani. Alimkuta boss wake yuko busy na simu ya mkononi akiwa anaangalia video.

Yule dada (PS) alinyooka direct hadi kwenye meza ya boss kitendo ambacho kilimshtua yule kigogo na kusababisha aiweke pembeni ile simu ili yule dada asiweze kuiona ile video. Kwa bahati mbaya hakuweza kuzima sauti mara moja na ndipo yule mpenzi wangu alipogundua kwamba sauti iliyokuwa inasikika toka kwenye huyo simu ilikuwa ni ya Tundu Lissu.

Aliweka mafaili mezani na kuondoka hapo ofisini haraka sana. Aliniambia kwamba hakuwa amemsimulia mtu yeyote isipokuwa mimi.

Nilistaajabu sana ila nilijifunza kwamba kumbe kuna vigogo wa serikali wanaofuatilia harakati za wagombea wa upinzani kama Tundu Lissu.
Yaani unaona ni issue kumfuatilia mgombea urais? Kwa hiyo unataka kutuambia nini sasa?
 
Kuwa makini yawezekana hakuyaona hayo ofisini labda walikuwa wanakokujua wao wawili. ila hapo ni kwamba hiyo ofisi ya kigogo inasingiziwa tu
 
Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma.
Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa wizara nyeti ya serikali hapa jijini Dodoma.

Wakati tumengia kitandani, akaanza kunisimulia stori ya kufurahisha sana ambayo imetokea hivi majuzi tu hapo ofisini kwao.

Stori yenyewe ilikuwa hivi;
Yeye (mpenzi wangu) alikuwa anampelekea boss wake (top official) wa wizara mafaili kadhaa ambayo ilibidi yasainiwe.
Alipofika ofisini kwa huyo kigogo alisukuma mlango akaingia ndani. Alimkuta boss wake yuko busy na simu ya mkononi akiwa anaangalia video.

Yule dada (PS) alinyooka direct hadi kwenye meza ya boss kitendo ambacho kilimshtua yule kigogo na kusababisha aiweke pembeni ile simu ili yule dada asiweze kuiona ile video. Kwa bahati mbaya hakuweza kuzima sauti mara moja na ndipo yule mpenzi wangu alipogundua kwamba sauti iliyokuwa inasikika toka kwenye huyo simu ilikuwa ni ya Tundu Lissu.

Aliweka mafaili mezani na kuondoka hapo ofisini haraka sana. Aliniambia kwamba hakuwa amemsimulia mtu yeyote isipokuwa mimi.

Nilistaajabu sana ila nilijifunza kwamba kumbe kuna vigogo wa serikali wanaofuatilia harakati za wagombea wa upinzani kama Tundu Lissu.
Umemwanika mwenzako lakini
 
Magu mwenyewe anafuatilia, tena si kufuatilia tu...yeye hadi anaigilizia Sera za Lissu
 
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa kwa sababu CCM is the best part.
Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nenda karudie matokeo ya 2015..MiCCM ilishindwa hesabu za darasa la kwanza kujumlisha na kutoa..pathetic
 
Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma.
Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa wizara nyeti ya serikali hapa jijini Dodoma.

Wakati tumengia kitandani, akaanza kunisimulia stori ya kufurahisha sana ambayo imetokea hivi majuzi tu hapo ofisini kwao.

Stori yenyewe ilikuwa hivi;
Yeye (mpenzi wangu) alikuwa anampelekea boss wake (top official) wa wizara mafaili kadhaa ambayo ilibidi yasainiwe.
Alipofika ofisini kwa huyo kigogo alisukuma mlango akaingia ndani. Alimkuta boss wake yuko busy na simu ya mkononi akiwa anaangalia video.
Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma.
Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa wizara nyeti ya serikali hapa jijini Dodoma.

Wakati tumengia kitandani, akaanza kunisimulia stori ya kufurahisha sana ambayo imetokea hivi majuzi tu hapo ofisini kwao.

Stori yenyewe ilikuwa hivi;
Yeye (mpenzi wangu) alikuwa anampelekea boss wake (top official) wa wizara mafaili kadhaa ambayo ilibidi yasainiwe.
Alipofika ofisini kwa huyo kigogo alisukuma mlango akaingia ndani. Alimkuta boss wake yuko busy na simu ya mkononi akiwa anaangalia video.

Yule dada (PS) alinyooka direct hadi kwenye meza ya boss kitendo ambacho kilimshtua yule kigogo na kusababisha aiweke pembeni ile simu ili yule dada asiweze kuiona ile video. Kwa bahati mbaya hakuweza kuzima sauti mara moja na ndipo yule mpenzi wangu alipogundua kwamba sauti iliyokuwa inasikika toka kwenye huyo simu ilikuwa ni ya Tundu Lissu.

Aliweka mafaili mezani na kuondoka hapo ofisini haraka sana. Aliniambia kwamba hakuwa amemsimulia mtu yeyote isipokuwa mimi.

Nilistaajabu sana ila nilijifunza kwamba kumbe kuna vigogo wa serikali wanaofuatilia harakati za wagombea wa upinzani kama Tundu Lissu.

Yule dada (PS) alinyooka direct hadi kwenye meza ya boss kitendo ambacho kilimshtua yule kigogo na kusababisha aiweke pembeni ile simu ili yule dada asiweze kuiona ile video. Kwa bahati mbaya hakuweza kuzima sauti mara moja na ndipo yule mpenzi wangu alipogundua kwamba sauti iliyokuwa inasikika toka kwenye huyo simu ilikuwa ni ya Tundu Lissu.

Aliweka mafaili mezani na kuondoka hapo ofisini haraka sana. Aliniambia kwamba hakuwa amemsimulia mtu yeyote isipokuwa mimi.

Nilistaajabu sana ila nilijifunza kwamba kumbe kuna vigogo wa serikali wanaofuatilia harakati za wagombea wa upinzani kama Tundu Lissu.
Mpaka Magufuli mwenyewe atampa kura Lissu .
 
Mbona hata sisi wa CCM tunamfuatilia Lissu ili kujibu mapigo!
 
Ni wale walioambiwa wananchi watakunywa mkojo wako?

kalaza mkubwa wewe!
 
Back
Top Bottom