kumbe hata US barabara mbovu kama Uswahilini kwetu.

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
6757057_americapothole_jpeg729f804f9409961bcf5b7034139149b7

Hapa si barabara ya buguruni kwa mnyamani kuelekea vingunguti ni US.

huwezi kuona haya CNN wala kwenye Movie...
 
Sasa kwa iyo kama us kuna barabara mbovu unataka na bongo zisitengenezwe ili tufanane na z us mbovu kwani sisi za kwetu tukizitengeneza zikawa bora zaidi ya za us tutapungukiwa na nini ama kweli tz ni shitholes kabisa yaan serikali imewashinda mmeshindwa kutekeleza ahadi zenu mnaluja huku kutafta sympass
 
Badala ya kuzungumzia ya kwetu huku. Tunakimbilia ya Trump. Huku kwetu ndani ya 1km kutoka ukulu kuna barabara kma iyo.
ya kwetu yanazungumziwa kila kukicha nadhani server za jf zinakaribia kujaa.
sio mbaya kuona na wenzetu huko ambao ni role model wa dunia.
 
Sasa kwa iyo kama us kuna barabara mbovu unataka na bongo zisitengenezwe ili tufanane na z us mbovu kwani sisi za kwetu tukizitengeneza zikawa bora zaidi ya za us tutapungukiwa na nini ama kweli tz ni shitholes kabisa yaan serikali imewashinda mmeshindwa kutekeleza ahadi zenu mnaluja huku kutafta sympass
dunia sio kijiji tena mkuu ni familia.
sio mbaya kujua mjomba anaendeleaje...
mkuu naona kama bongopolitiks zimekujeruhi umekuwa kama mbogo kila jicho lako linachokiona ni siasa.
 
Back
Top Bottom