kumbe hata simba huwa wanapendaga hii kitu ???
Useme tu wewe ndio unaona ibu kuangalia simba anatia, usiwasingizie watoto. mbona picha nyingine kama vile za violence nk. hamzipigii kelele?jamani kuna watoto....nao tuwape haki yao...tusi-expose mno mambo haya
Akifanya mnyama ni okey! tukifanya sisi tunaambiwa ni dhambi, jamani dunia hii
Akifanya mnyama ni okey! tukifanya sisi tunaambiwa ni dhambi, jamani dunia hii