Kumbe hata kazi ya kufundisha ni vigumu?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
mara nyingi watu wamekuwa wakishauriwa watafute shule za kufundisha pale kunapokuwa na ugumu wa kupata kazi ya fani waliyoisomea. Mimi nimeamua kufuata huo mkondo lakini ninayokutana nayo kwenye hizi shule yanakatisha tamaa. Wengi wanataka waliosomea ualimu, hapa nimeambiwa ningekuwa nimesoma BeD ningepata..sijui inawezekana vipi Bcom kuwa Bed? Wadau mwenye kuhita mwalimu wa Mathematics/Geography/Economics, tuambizane.
 
Mkuu, ulichoambiwa ni sahihi. Kwa kuwa huyo aliekwambia hivyo anajua unataka kuutumia ualimu kama daraja kwenda huko unakokutaka.

Ushauri wangu kwako ni huu: Tafuta mahali uwe hata intern kwa kazi uliyosomea, utaboresha CV yako.
 
mkuu nimekuelewa, hata hzo sehemu za kujitolea bado ni ishu...
 
Ongezea PGDE (POST GRADUATE DIPLOMA IN EDUCATION) miez mingapi cjui ile unafundishwa foundations za education, teaching methodology then kwish nehi unakua mwalimu.
By the way umesoma Bcom in what?
 
Ongezea PDGE ya education miez mingapi cjui ile unafundishwa foundations za education, teaching methodology then kwish nehi unakua mwalimu.
By the way umesoma Bcom in what?
bcom in management sciences.
 
Ongezea PDGE ya education miez mingapi cjui ile unafundishwa foundations za education, teaching methodology then kwish nehi unakua mwalimu.
By the way umesoma Bcom in what?
bcom in management sciences.{materials management}
 
mara nyingi watu wamekuwa wakishauriwa watafute shule za kufundisha pale kunapokuwa na ugumu wa kupata kazi ya fani waliyoisomea. Mimi nimeamua kufuata huo mkondo lakini ninayokutana nayo kwenye hizi shule yanakatisha tamaa. Wengi wanataka waliosomea ualimu, hapa nimeambiwa ningekuwa nimesoma BeD ningepata..sijui inawezekana vipi Bcom kuwa Bed? Wadau mwenye kuhita mwalimu wa Mathematics/Geography/Economics, tuambizane.

BedCom na BCom ni tofauti mkuu.Ajira ngumu siku hizi.
 
mkuu tulipokua chuoni ni nyinyi ndo mlikuwa wakwanza kutudharau cc watu BAEd na BEd,ona sasa unavyoangaika kitaa.
 
watu mnajidharau alafu mnalalamika mnadharaulika, huku kuhangaika ni suala la muda tu...hata sijutii kusoma Bcom.
 
Tukubali tu kutambua maana ya taaluma ama professionalism kwamba si haki accountant akafanye surgery muhimbili...jamani kila kada ina code of ethics n conduct za kwake

Maana yake ni kwamba hata katika appraisal usije kuwa na xcuse ama objection kwamba 'mie sikusomea lakini'hahaaa!tunatakiwa kuwa na universal standards katika kufanya OPRAS yetu,mie nafikiri huyo alikuwa akimaanisha hilo mkuu...hvyo tutafute tu kazi lakn pia tuelewe mapungufu yetu pia kitaaluma
 
poa mkuu umesomeka,ila kwake hofu yake ni kukimbiwa na c vingnevyo.
 
Wewe siyo professional katika taaluma ya ualimu, na hivyo haukusomea ualimu. Ninachokushauri jaribu kutafuta means ya kutumia taaluma yako.
Elewa kuwa teaching is a professional like other professional.
Ask your self, can anyone be a teacher? Siyo suala la kujua kufundisha hesabu, kuongea kiingereza tu au teach to the test or exam, yahitaji uwe na vigezo vingine zaidi ya hivyo.
 
kaka acha ujinga huo,wewe huna taalulama ya ualimu unataka ukafundishe na shule zenyewe ndo za kata hivi mnataka hawa wadogo/toto zetu wanedelee kupata shida ya ubora wa elimu,kama unaweza USHARI WA DR.POMBE UNAKUHUSU(NENDA KIJIJINI KALIME)
 
​nenda mbezi kuna shule imeanzishwa wanataka mtu wa kuwa anawapandisha watoto kwenye school basi na kuwashusha
 
Back
Top Bottom