denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,511
- 68,141
Aisee kazi tunayo, ndio maana wengi wao mpaka wanaume ni mabingwa wa mipasho.Ndungai alisema wakati wa uchaguzi “CCM hatuhitaji watu makini sana, tunahitaji 3/4 ya wabunge wote ili waweke kupitisha hoja”.