Kumbe hata CCM ni majuto - Wabunge wengi sio chaguo la wananchi.

'
Screenshot_20210409-213806.jpg
 
Wengi ni chaguo la tume la jiwe, amewahi tamka live bila yeye hakuna angekuwepo bungeni ubunge aliwapa kwa lengo la kumuwezesha kubadili katiba atawale milele.Lkn Mungu ni mwema siku zote
Leo uchaguzi ukirudiwa hakuna atakaerudi pale.
 
Ukiitishwa uchaguzi huru na wa haki utaniTAG, nadhan uko 2070.
Ila kwa sasa lzm tuandamane tukalichome bunge ikibidi ndugai tumchukue na kumuhasi kende zake.
That is too harsh, sisi binadamu huwa tunabadilika ili mradi tupate element za mabadiliko na kwa kweli baada ya mama kushika usukani wengi tunaona kuna mabadiliko kwa kiasi fulani pamoja na kuwa never trust politicians lakini kuna new hope ambayo wale wote ambao walifuata mkumbo kwa njia moja ama nyingine katika kuwadhulumu wenzi wao wanarejea kwenye haki.
Uchaguzi hauwezi kuitishwa lakini tupiganie kupata tume huru ya uchaguzi na tuzidishe maombi katika hilo.
 
Mambo ni mengi,ndio maana nimeshindwa kubaini kipi hasa jamaa kapewa.
Ile mh. mrembo sana...
Kuna siku nilikuwa nipo Babati jumapili nilienda kanisani pale babati kwa bahati mbaya tulikaa karibu sana hivyo yukapata wakati wa kuzungumza.

Kwanza nilimsifu kwa kuchangia viti vya kukalia pale kanisani basi alifurahi sana na kuanza kujisifu.
Ila sikifichi ni kazuri tu.
 
Back
Top Bottom