Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

This is 100% disgusting. William, kama unaona shida kuwataja wabunge wa upinzani hadharani hapa JF, hasa kama wapo wa CDM, naomba uni-pm tafadhali. Tunajenga chama katika misingi ya uadilifu, kama mbunge wetu amekula mlungula tungependa tumjue tafadhali.
kwani wewe ni nani mpaka uwajue? una uwezo gani kuwachukulia hatua yoyote? Acha kujifagilia
 
jamaa hajui mjini hapa mbaya ni kama wangepokea then wampe kura .
kwa nini wakatae hela ya bure
huyu jamaa akili na mwili wake vitu viwili tofauti

hakuna uwiano kati ya mwili na akili zake.
kwa kiswahili cha mtaani tunasema KUBWA JINGA.
 
kwani wewe ni nani mpaka uwajue? una uwezo gani kuwachukulia hatua yoyote? Acha kujifagilia
dogo humjui Kitila Mkumbo, nyamaza kimya. shule zimeshafunguliwa rudi shule ukasome, ukifaulu kwenda chuo utamjua wala usihofu.
 
- Well, tumeambiwa sana hapa kwamba tujiunge na timu za ushindi huko Upinzani, sasa kwenye kampeni tulikuwa tunaangalia sana kwa makini mwenendo, I mean kuna walio straight hawana muda wa ujinga wapo kama nilivyokuwa ninawaona siku zote, lakini wengine wamenisikitisha sana, hasa the idea niliyokuwa nayo zamani kwamba wote ni wasafi na ni the alternative!
Willie!
Mkuu William, sorry for this!, nami nilikuwepo Dodoma, kubali kataa, watoa rushwa wakuu ni CCM na wapokeaji wakuu pia ni CCM!, japo pia wapinzani sio malaika, wako wenye njaa zao, wanaondekeza shibe.

Ila post yako hii, bila wewe kujijua, sasa unataka ku release frustration za kushindwa kwako, kwa kuzingizia eti its now ndio umegundua CCM imeoza kwa rushwa!, eti ulifikiri wapinzani ndio wasafi!, you are now more frustrated kugundua kuwa kama hao wapinzani nao wanapokea rushwa!, sasa ndio tutegemee nini!?.

Lesson one kwako umerealise kuwa bunge letu pia bribe rotten parliament kwa sababu kule tumejaza waganga njaa!. Niliangalia wale ulioshindana nao CCM ukawaacha, bado sijapata picha wewe ulipitaje?, kama uliweza kupita kule kugumu, ulishindwa vipi kutumia mbinu zile zile kupita huku kurahisi?, this means wenzako walikuzidi!.

Naamini katika kusafisha from within, nakusihi sana you be there to stay ukijaribu kusafisha from within ili ushuhudie the fall of titanic with your own eyes!.

Karibu to home politics, siye wengine, tumeshajiamulia long ago just to be the spectectors of the show!, we dare not to play!, hongera for daring heart to try, and you've played the real game na rushwa is the name of the game!.

Huna haja ya kuendelea kupiga kelele, the end justifies the means!, "the winner takes it all, the looser standing small!"!.

Pasco!.
 
kule unakosema kulikuwa kugumu...alipita kwa kubebwa...i mean through nepotism.....while huku alikoshindwa hakuwa na mtetezi......hakuweza kubebeka......even his step mom could not carry him......
 
Le mutuz,hakuna anayethubutu kupokea endapo anapewa.Maana njaa ni kali hapa Bongo.Ila ni bora usitoe maana watakupa wakitegemea utawarudishia fadhila pindi ukipata.
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!William @Dodoma City!
Akina nani hao?Je umewa ripoti TAKUKURU?Au ulichukua hatua gani?Ha! ha! ha! ha! ha! haaa!
 
Kaka willy embu funguka vizuri ungewataja majina ingekuwa poa zaidi. Any way the beutiful ones are not yet born! take care .Hata hivyo nimeshakusoma janja yako, nia yako ni kugombea ubunge jimbo la mtera 2015 huo ubunge wa EAC ulikuwa unauza sura na kutoa msg kwamba umerudi na your MP material. Any way strategy yako sio mbaya. Na mimi nakuunga mkono kwa dhamira yako ya kumuondoa yule mpuuzi aliyemng'oa msure wako 2010! Pole tena kwa yaliyotokea kwenye kinyang'anyiro cha EALA. Na nakutakia kila la kheri kwenye 2015 mtera mission! usikate tamaa. "kuanguka sio kushindwa. kushindwa, ni kushindwa kuamka unapoanguka.
 
maneno ya mkosaji. niliwahi kukuombea usipate sababu ya maneno yako ya face book humu jamvini. ni bora wamekupiga chini, take this WAJINGA NDIO WALIWAO
 
Jamani, hivi tunataka ushahidi gani tena?

  • Kuna watu wawili tu wanaoweza kuwa na madai ya kweli kuwa kitendo cha rushwa kimefanyika, nao ni mtoaji na mpokeaji.
  • Kuna watu wawili tu wanaoweza kuwa mashuhuda wa kuaminika kitendo cha rushwa kinapofanyika, nao ni mtoaji na mpokeaji.
  • Kuna watu wawili tu wanaoweza kuwa washirika katika kupanga na kutekeleza utoaji wa rushwa, nao ni mtoaji na mpokeaji.
  • Ushahidi pekee unaokubalika beyond any reasonable doubt kuhusu rushwa ni wa watu wawili tu, nao ni mtoaji na mpokeaji.
Hivyo swali linalojitikeza ni moja tu, je William J. Malecela alikuwa mtoaji au mpokeaji? Mgombea kutoka chama kilichokubuhu kwenye vitendo vya rushwa, hawezi kulalama kuwa vyama vingine navyo vimeshiriki katika vitendo vya rushwa bila kuwa ama mtoaji au mpokeaji. Kwa msingi huo na katika kuzingatia kuwa hapa ni JF anapokomwa nyani giledi bila kumwangalia uso, awataje hao washiriki wenzake katika rushwa. Kama yeye mwenyewe ameweza kujitaja kama mshiriki, anasita nini kuwataja wenzi wake?
 
Je huo usafi au uchafu wao una uhusiano wowote na sera za chama chao? Every individual has his own weakness!
 
Willy pole sana ila inaonesha umejifunza mengi embu endelea kutujuza nasisi tupate uzoefu.
 
kule unakosema kulikuwa kugumu...alipita kwa kubebwa...i mean through nepotism.....while huku alikoshindwa hakuwa na mtetezi......hakuweza kubebeka......even his step mom could not carry him......

uhakika kabisa kwa siasa za bongo!
 
Kaka willy embu funguka vizuri ungewataja majina ingekuwa poa zaidi. Any way the beutiful ones are not yet born! take care .Hata hivyo nimeshakusoma janja yako, nia yako ni kugombea ubunge jimbo la mtera 2015 huo ubunge wa EAC ulikuwa unauza sura na kutoa msg kwamba umerudi na your MP material. Any way strategy yako sio mbaya. Na mimi nakuunga mkono kwa dhamira yako ya kumuondoa yule mpuuzi aliyemng'oa msure wako 2010! Pole tena kwa yaliyotokea kwenye kinyang'anyiro cha EALA. Na nakutakia kila la kheri kwenye 2015 mtera mission! usikate tamaa. "kuanguka sio kushindwa. kushindwa, ni kushindwa kuamka unapoanguka.
Labda kwa ticket ya CDM
 
Back
Top Bottom