Kumbe Salama Jabir ana miguu mizuri hivi!

Aah you mean wewe ni Bitozi? Basi ndiyo sababu mkuu
Kimavazi yap ila hata siku hiyo ilikuwa tunaangalia hiphop battle za kina niki mbishi pale british council,kwenye tv nlikuwa namuona sister tu ,live nilipanic kazuri et ila swaga za kiume balaa skukaza maana nyuma alikuwa na wahuni balaa basi mnyama mkali nkaondoka na aibu yangu kimasta,ila kitambo last time nimemuona kidimbwi tukaangaliana tukapishana naona kama unaudada kidogo,
 
Mi nilidhani mwanaume wa kiskochi,kwa maana wanaume huvaa visketi kama alichovaa huyu kijana
 
Salama ni mrembo sana. Ukikutana nae uso kwa uso ni mschana mzuri na mrembo ajabu tena mwororooooo

Hiyo vaa yake ni ya makusudi ili aishi maisha anayoishi, yaani ndio inamtenganisha na urembo wake
 
Back
Top Bottom