Kumbe hadi wanawake huwa mnapigana exile!!?

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,304
2,582
nipo eneo moja tumepanga wanaume na wanawake...sasa kuna mademu wawili wamepanga chumba kimoja sasa mmoja amemleta bwana wake....ni wiki moja sasa....hii imemfanya huyu mwingine alale kwa demu mwingine ambaye anaishi pekeyake....kumbe na nyinyi mnapigana exile!!!?
 
Huyo mwingine we ndo inabidi ukabe ...au we kibogoyo...................
 
Umekaa na Madada Mpaka umeanza kuiga tabia zao za kuchunguzana na umbea umbea
 
Wew ni mata.KO
ulitakaj kwamfano,so manzi yako akiishi na rafik yake no paying a visit huh?
Unaweza kumtembelea lakini siyo kuangusha mbavu na kuvuruga mipango ya watu...siyo adabu... kama mnataka kulala mwanaume ingia mfukoni katafuteni sehemu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom