Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Me nashangaa watanzania 2nang'ang'ania kusoma,na wkt ukiangalia wa2 walofankiwa ktk hu ulmwengu kama Bill gates,michael dell,roman abromovich na mark zuckerberg waliamua kudropp vyuon mwao na wakijiingya kwenye ujasiriliamali na leo mafanikio yao kila mtu anayaona..vijana wenzangu wa kitanzania hasa nyie mlonyimwa haki yenu na serikali kwa kukosa mikopo,inabidi mjiingze kwenye ujasiriamali ili na nyie muweze kucreat new jobs.kumbukeni kwamba hakuna tajiri katka hu ulmwengu ambae ni mwajiriwa wa ofisi flani,matajiri wote ni wa2 ambao wanamilik biashara zao,me naamin kwa elimu ya form 6 au 4 ulyopata una uwezo wa kuanzsha na kusimamia biashara yako vizur 2.