Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
Hii serikali ya mseto ya aina yake ya Ivory Coast imechelewa sana kuja. Ulikuwa uwe mfano mzuri sana wa kuigwa na Tanzania, kwa kuwa sisi ni mahiri kwa hilo. Kama tulivyoweka serekali ya mseto kwenye katiba ya Zanzibar kabisa kuonesha tulivyo wabunifu na wepesi kujifunza kutoka kwa jirani zetu. Sasa tuna makamu wa rais wa kumhudumia rais zanzibar na makamu wa rais wa kukaimu madaraka ya rais anapokuwa hayupo.
Sasa kumbe inawezekana afrika nchi ikaongozwa na marais wawili na hata bila kubadili katiba? Baada ya kujifunza ubunifu huu kutoka kwa nchi ya afrika maskini kama sisi, je, Dr. Slaa anaweza kujiapisha sasa?