Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Sasa tukirudia kuuliza swali; kampuni ya Dowans Holdings S.A inatoka wapi watatupa jibu gani ambalo tunaweza kuliamini? Ni kweli kwamba tunachozungumzia ni Dowans Tatu:
a. Dowans Holdings S.A ya UAE
b. Dowans Holdings S.A ya Costa Rica
c. Dowans Tanzania Limited ya Tanzania
Kwanini kwenye nyaraka hizi za kwetu wanasema kuwa ni kampuni ya Dowans Holdings S.A ya Falme za Kiarabu ndiyo iliyochukua mkataba wa Richmond lakini kwenye nyaraka za ICC na US wanasema ni kampuni ya Dowans Holdings S.A ya Costa Rica?
Hivi ikitokea Dowans Holdings S.A ya India na Dowans Holdings S.A ya Mexico tunaweza kudhania kuwa ni kampuni moja ile ile?

MKJJ nchni ikisha kuwa na Rais ambaye ndiye kinara wa Rushwa mambo hayawezi kwenda hata kidogo, maana hamna anayeweza kumnyoshea mwingine kidole mi nadhani hata hii PCCB hamana haja ya kuwepo nikuongezea Watanzania Mzigo wa mishahara kwa Taasisi hiyo na uwezo wala nia ya dhati ya kutekeleza majukumu yake
kwakweli tumekuchoka na ideas zako unazotumwa na mabwana zako za uchochezi.... tunachohitaji ni umeme....