Kumbe diwani mawazo best wake godbless lema kajiunga chadema!

Shapecha

Member
Oct 21, 2010
45
1
Diwani wa Kata ya Sombetini, Alfonce Mawazo katangaza kujiondoa katika chama chake Jumatano wiki hii na kujiunga na Chadema akidai kuwa amechoshwa na ukatili wa CCM.

Mawazo ambaye alihamia CCM mapema mwaka juzi akitokea TLP akiwa diwani wa kata hiyo, alisema kwa muda mrefu amekuwa akiunga mkono sera za Chadema na sera binafsi za aliyekuwa mgombea wa urais wa chama hicho, Dk Willibroad Slaa.

"Naomba niwaeleze wazi kuwa hata katika Uchaguzi Mkuu ingawa mimi nilikuwa mgombea wa udiwani wa CCM, nilimchagua Dk Slaa kwa nafasi ya urais," alisema Mawazo katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Dk Slaa.

Source: Mwananchi
 
Sipendi kabisa kuongelea habari za huyu kijana...
Hana msimamo kama mwanaume...Huyu atakimbia pia CDM matarajio yake yasipotimia. He is a gold-digger, and he lives by chances!
 
Bado yupo CCM, nasikia leo wana sherehe ya kupongezana huko Sombetini. Dogo haeleweki, CHADEMA hatuna hajanaye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom