Elections 2010 Kumbe dawa ya UCHAKACHUAJI ni kuchoma masanduku yaliyokwisha-hesabiwa!!!

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,476
4,250
Wanajamvi, Wananchi sehemu mbalimabli wamegundua dawa ya uchakachuaji!-KUCHOMA MOTO MASANDUKU YA KURA zilizokwisha-hesabiwa ili kuzuia kurudiwa kuhesabu kura na hatimaye kuchakachua!

Kule Mwanza wameshafanya hivyo na sasa kule Maswa kwa habari zaidi soma hapa chini...


Masanduku ya kura yachomwa
 
Back
Top Bottom