kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,305
- 2,061
Acheni masihara na fani za watu. Round about ni majanga. Inafaa kwa vimitaa huko sio highway. Pale mlimani city tu ni kero balaa wakati vigari vichache tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app