Mungu atamsaidia
:doh::doh:Jamani nimepatata tetesi kutoka vyanzo vya habari kuwa etiiii Da Sophy alikosea kuhesabu tarehe wiki mbili zijazo ndio anaweza kujifungua. Madaktari wamempima na kuona kuwa hana tatizo tumuombeeni ajifungue salama...
Jamani nimepatata tetesi kutoka vyanzo vya habari kuwa etiiii Da Sophy alikosea kuhesabu tarehe wiki mbili zijazo ndio anaweza kujifungua. Madaktari wamempima na kuona kuwa hana tatizo tumuombeeni ajifungue salama...
Hivi kipindi kile kwenye ile ishu yetu haukukosea tarehe?[/QUOTE
Sikukosea laaziz si unajua tena tunataka mapacha kadume na kajike tuwe tumemaliza mchezo
Jamani nimepatata tetesi kutoka vyanzo vya habari kuwa etiiii Da Sophy alikosea kuhesabu tarehe wiki mbili zijazo ndio anaweza kujifungua. Madaktari wamempima na kuona kuwa hana tatizo tumuombeeni ajifungue salama...
Asante Mama Big kumbe mnanipenda jamani. Nilifanyiwa operesheni salama na kujaliwa mtoto wa kiume anafanana na babake utafikiri aligongesha mhuri! Tafauti kidogo tu mwanagu ana kidimpo kwenye kidevu ambacho babake hana lakini anasema ni cha babu yake alikuwaga nacho.
Asanteni sana jamani na mie mwenzio nina raha nalea kama nyie.

duh...mpe pole sana...inaonekana ana hamu ya kiumbe chake....kitakuja tu asijali