Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,794
- 71,212
Sio siri kuwa Magufuli na timu yake ya uongozi ndani ya CCM wanaogopa sana chama chao kugeuka cha upinzani kuliko wanavyo muogopa Mungu kwa kushitikiana na shetani.
Faulu, figisu na uharamia sasa uko waziwazi na hata hiyo hofu ya Mungu haipo tena. Na yote hayo ni kuogopa uchaguzi huru na haki unaoweza kuwaondoa madarakani.
CCM hamna haja ya kuogopa kukamata usukani wa upinzani kwani siasa zijazo za Lissu na Chadema + ACT sio za visasi bali demokrasia ya kweli na maridhiano.
Tahadhari kwa JPM na viongozi wenzako, achana na wapambe ambao watakushawishi ulete ubabe ukishindwa! Hao wanakuponza na hawata ucheza muziki mambo yakichacha zaidi yako ambaye hata Pension yako utaiweka mashakani pia furaha ya familia yako utaipoteza na kujuta kwa nini nilikubali madaraka.