Kumbe Chadema ndiyo ililengwa kufanikisha Agenda za leo?? kimekuwa gumzo kuliko umuhimu wa waliohudhuria na walochokizungumza!

Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.

Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.

Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??

Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??

Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??

Mbona kelele nyingi?

Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
Hiyo inzi, inafaa isomeke inzi wa kijani!
 
Siasa ni watu sasa wewe unaendekeza tamaa hadi unawakwaza wafuasi wako unategemea nini tena hapo?
Kilichomgombanisha yeye na Maalim Seif ni Rushwa aaliyokula alasaliti Ukawa Alidhani zile pesa hazitaisha.
 
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.

Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.

Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??

Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??

Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??

Mbona kelele nyingi?

Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
KWANI UMEONA WAPI INAZUNGUMZIWA MBONA HAKUNA
 
Back
Top Bottom