Kumbe cdm huzuia vijana wao kutokuongelea maovu ya chama ila ruksa kuongea uongo wa vyama vingine

NgugiAchebe

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
1,032
Likes
680
Points
280
NgugiAchebe

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
1,032 680 280
UONGOZI WA CHADEMA TAIFA UJISAHIHISHE.

Na; Joseph Monia Politician

Awali ya yote nimuombe radhi mwenyekiti wangu wa chama mh.FREEMAN MBOWE, kutokana na kuzuia wanachama wa CHADEMA kulalamika kwenye mitandao ya kijamii juu ya mambo ya chama, lakini kwa hili nitaomba nisamehewe.

Ni takribani siku 23 sasa tangu kuripotiwa kwa upotevu wa ndg.yetu [HASHTAG]#BENARD[/HASHTAG] [HASHTAG]#FOCUS[/HASHTAG] [HASHTAG]#SAANANE[/HASHTAG]. Ikumbukwe kuwa Ndg.Ben Saane (kama anavyojulikana) ni Personal Assistant (PA) wa Mwenyekiti wa chama.
Kwa mujibu wa tarehe ya kupotea kwa ndg.Ben, inaonekana amepotea mapema kabla ya Mwenyekiti wa chama kuondoka kwenye Uingerereza akiambatana na ndg.Tundu Lissu na John Mrema.

Mimi nikiwa miongoni mwa wanachama wa CHADEMA na mpigania haki za watu, nimekuwa nikijulishwa juu ya ufuatiliaji wa chama CHADEMA kwa suala hili, lakini ukweli ni kwamba, jitihada haziridhishi.

Nina maswali na hoja kadhaa za kutuma kwenye uongozi wa CHADEMA TAIFA,juu ya suala hili kama ifuatavyo;

01. Kwanini uongozi wa CHADEMA TAIFA mpaka leo haujajitokea hadharani mbele ya jamii na kutangaza suala la upotevu wa ndg.[HASHTAG]#Ben[/HASHTAG] bila kujali anayehusika na upotevu wake kisha uchunguzi uendelee?

02. CHADEMA tumekuwa tukifanya operations mbalimbali,maandamano na wabunge wamekuwa wakitoka bungeni pale chama kinapoona haki na stahiki za watu zinaporwa. JE,KWANINISUALA LA BEN MPAKA SASA HAKUNA KAULI YOYOTE YA CHAMA WALA KULAANI KITENDO HIKI?

03. Tunaambiwa mwenyekiti yuko nje ya nchi mpaka atakaporudi. Je, nini kazi ya Katibu mkuu ndani ya chama?
Kwanini suala hili lisishugulikiwe kwa udharura wake?

04. Ikiwa suala hili limewashtua Watanzania wengi (wanachama na wasiyo wanachama),CHADEMA TAIFA haijaonesha mshituko wowote mbele ya jamii ya Watanzania.Je, hii inajenga picha gani kwa wananchi? NI KWAMBA CHADEMA TAIFA MNAJUA NDG.BENARD SAANANE ALIPO?

05. CHADEMA TAIFA, ni dhahiri kuwa kwa tukio hili mmewavunja mioyo vijana wengi wapambanaji."Ikiwa mti mkavu umetendewa hivi je, itakuwaje kwa mti mbichi"
Ikiwa ndg.BEN ni P.A (MSAIDIZI WA KARIBU WA MWENYEKITI) na suala lake limechukuliwa kwa uzito wa kiasi hiki, je, itakuwaje kwa mwanachama wakawaida?

06. Kwanini Magazeti yenye mlengo wa CHADEMA hayaja-promote sana suala hili?
Cha kushangaza mpaka sasa, hakuna tangazo wala taarifa yoyote kwenye page za chama (Twitter na Facebook), za kuonesha kutoweka kwa ndg.Ben?

07.. Kwanini suala hili limeshughulikiwa zaidi na wanachama na marafiki wa [HASHTAG]#BEN[/HASHTAG]
kama ndg.[HASHTAG]#MALISA[/HASHTAG] GJ, [HASHTAG]#YERIKO[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BOB[/HASHTAG] tangu kuripoti kituo cha polisi mpaka kuwaita wana habari na kuwajulisha.
Je, Ofisi ya CHADEMA TAIFA imehusikaje juu ya hili? kwa kuwa BEN ni mtumishi wa ofisi hiyo?

"UKIIJUA KWELI NAYO NAYO KWELI ITAKUWEKA HURU"

MWISHO:
Ninawaomba CHADEMA TAIFA kuondoa utata huu tunaoupata kama wanachama na Watanzania a engine.
Uko wapi Dr.Vincent Mashinji?
Uko wapi mh. John J. Mnyika?

NB: NAOMBA NILIYEMKWAZA JUU YA HILI ANISAMEHE.

[HASHTAG]#BRING[/HASHTAG] [HASHTAG]#BACK[/HASHTAG] OUR [HASHTAG]#BENSAANANE[/HASHTAG]
 
georgemwaipungu

georgemwaipungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Messages
2,782
Likes
361
Points
180
georgemwaipungu

georgemwaipungu

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2015
2,782 361 180

Unaonyesha wewe ni mtu dhaifu sana mpaka Leo bado unashabikia ujinga
 
Forum statistics

Threads 1,274,995
Members 490,874
Posts 30,529,935