Kumbe CCM walidharau ushauri huu wa Tume ya Nyalali

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
39,355
2,000
Akiongea muda huu katika kipindi cha "Dakika 45" kinachorushwa na ITV,mhe.Mbatia amesema Tume ya Jaji Nyalali ilipendekeza mali zote zilizokuwa zinamilikiwa na CCM chini ya mfumo wa chama kimoja zirudishwe zote serikalini ili vyama vyote vianze vikiwa sawa chini ya mfumo wa vyama vingi ushauri ambao ulipuuzwa na serikali ya CCM.

Binafsi, hili nilikuwa silijui.

Ahsante mh.Mbatia kwa taarifa hii.
 

Buldoza

JF-Expert Member
May 2, 2013
2,304
1,225
Hivyo ndivyo ilivyopendekezwa, lakini Ma-Escrow wakaona watakosa cha kuiba na watakufa maana wameshazowea kuiba.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom