Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,944
Aman iwe juu yenu
Nilikuwa sijui hivi kumbe kale kambea kambea kanakoitwa ka Carrymastory ni ka DJ afu ni karembo hivi
Nilikuwa sijui aisee ndo nimejua. Hongera kwake
Sasa nauliza kwanini kawa mumbea mumbea wakati ana kazi yake au umbea nao ni kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app