Kumbe Carrymastory ni DJ halafu ni mtoto mbichi mkali kabisa

huyo dem naona anatumia numark pro anaonekana ana mix za hatari hatari ila hanishindi huyo mzeebaba haha

Anajitahidi huyo demu.

Huwa ananogesha poa sana pale Coco beach, zile shows za usiku mnene ufukweni watu wanakula gambe.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom