Kumbe bodyguard wa "jk" kanali kimario ibrahim huwa anacheka na kutabasamu.

Aide De Camp (ADC) Ni msaidizi wa Rais. Mlinzi wa rais ni yule anayevaa suti ya kawaida ambayo anakuwa jirani na huyo msaidizi wa Rais. Huyo kazi yake ni kubeba mafaili yote ya rais pamoja na simu za mkononi za rais na iwapo anapigiwa na mtu yeye ndiye hupokea na kumuunganisha na rais na mambo mengine binafsi ya rais. Ndiyo maana rais akimaliza muda wake yeye hurudi makao makuu ya jeshi kama ilivyo kwa yule mtangulizi wake aliyekuwa msaidizi wa Mkapa, ambaye kwa sasa amepandishwa cheo.
 
Mkuu Safari_ni_Safari, hawa akina Kimario ni wa Kaskazini, wengi wao wanatoka Machame,Rombo na baadhi wachache ni Wapare wa Wilaya ya Mwanga.
Utakumbuka hata Muhidin Kimario naye alikuwa ni Mpare wa kutoka Mwanga. Hivyo anaweza kuwa Mmachame, Mrombo au Mpare lakini
Du huyu Kamanda Mbogo (Gen. Muhidin Kimario) siku zote najua ni mRombo yeye na yule mke wake wa kwanza (Mama Nyota RIP) walipokuwa wakiishi mtaa wa Swahili Moshi mjini, baada ya Vita ya kagera akapata Mmachame wakahamia huku Dodoma mpaka leo wapo Vyeyula,
mmh! hilo cheko si la kweli huyo anakenua tu sio kicheko hicho. bado yupo kikazi zaidi
Huyu Kimario mwingine kweli ni mcheshi ila nimecheka member mmoja aliposema wangeweka vijana wanaweza kuruka maKarateee Hizo kazi ni za kumlinda iwe kwa wa karibu kmakichoka au kuanguka na hata kwa mbali kukinga risasi kwa kumkwepesha, kumlalia, au kuizuia (Labda liwe kombora) ndio maana huwa anakuwepo akikaa kwenye kiti chake maalum ambacho B/G anakiamini
_FKB8399.JPG

attachment.php
 
Kimario si lazima ni mtu wa uchagani!!! Kwa asilimia 100% JK hawezi kamwe kuna na mtu wa karibu vile mchaga kikazi!!! Anawachukia, they are his enemy number moja!!!! Sijajua wachaga mlimkosea nini huyu bwana. Anawatowesha kabisa katika system ila niwajuavyo wachaga, ni muda tu watarudi na serikali ita-perform!!!
 
Mkuu Safari_ni_Safari, hawa akina Kimario ni wa Kaskazini, wengi wao wanatoka Machame,Rombo na baadhi wachache ni Wapare wa Wilaya ya Mwanga.
Utakumbuka hata Muhidin Kimario naye alikuwa ni Mpare wa kutoka Mwanga. Hivyo anaweza kuwa Mmachame, Mrombo au Mpare lakini bado inabikia ni Kaskazini.
Nimesoma dhana yako ya kusema kuwa ni wa Kaskazini tena Machame, ngoja wenye waje hapa wafuasi wa Mkulu wenye chuki na Kaskazini tuone watasemaje.
Pamoja
Kwa nini raisi hakuchagua bodigadi mhaya? ana chuki na wahaya? au kwanini hakuchagua bodigadi muislamu? au ni mfumo kristo? au ina maana raisi anapenda mfumo wa kaskazini jamani raisi wetu mbona hachagui bodigadi mzanzibar ndio maana muungano hawautaki.PPumbavu kabisa kama mpaka leo watanzania mnajiulia mswali kama hayo karagabaho
 
Huyo ni mwenyeji wa Rombo Useri kijiji cha Kingachi ila Marehemu baba yake alihamia Moshi mjini zamani sana akiwa hana dini ndo akaamua kuwa muislam alijulikana kama Abdallahrahman Kimario. Kimarioana ndugu zake wanaishi Moshi majengo akina Ally Shah na Abdullah na ndugu wengine wa marehemu baba yake ni wakristo.
 
Kimario si lazima ni mtu wa uchagani!!! Kwa asilimia 100% JK hawezi kamwe kuna na mtu wa karibu vile mchaga kikazi!!! Anawachukia, they are his enemy number moja!!!! Sijajua wachaga mlimkosea nini huyu bwana. Anawatowesha kabisa katika system ila niwajuavyo wachaga, ni muda tu watarudi na serikali ita-perform!!!

Umekosea sana yule bwana ni mchaga
 
Best wa JK kwenye safari zake za utalii..

kwenda mbuga gani mkuu? au kubembea kama hivi? na anapokuwa anbembea sijui jamaa huwa anabaki chini akisiklizia au naye huwa analiunga juuuuu chiniii juuu chini..
 
Huyo maharage afya hiyo imetokana na kula beans?

nadhani inabidi tumuulize , eti bwana maharage tupe siri ya "body yako" kama ni kweli kuwa ni effect ya kitu cha soya au harage la mbeya.
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    5.7 KB · Views: 241
Huyo ni mwenyeji wa Rombo Useri kijiji cha Kingachi ila Marehemu baba yake alihamia Moshi mjini zamani sana akiwa hana dini ndo akaamua kuwa muislam alijulikana kama Abdallahrahman Kimario. Kimarioana ndugu zake wanaishi Moshi majengo akina Ally Shah na Abdullah na ndugu wengine wa marehemu baba yake ni wakristo.
wewe utakuwa shemeji yake , coz una takwimu nyeti za huyu "mtu muhimu " sana.
 
Kwa nini raisi hakuchagua bodigadi mhaya? ana chuki na wahaya? au kwanini hakuchagua bodigadi muislamu? au ni mfumo kristo? au ina maana raisi anapenda mfumo wa kaskazini jamani raisi wetu mbona hachagui bodigadi mzanzibar ndio maana muungano hawautaki.PPumbavu kabisa kama mpaka leo watanzania mnajiulia mswali kama hayo karagabaho

kwani MOLA aliumba wahaya kuja kuwa kina "mura" :painkiller::fencing:?? hata hao kina "kiruuuuuu/ ebooo" wanahaki tu mkuu.
 
Aide De Camp (ADC) Ni msaidizi wa Rais. Mlinzi wa rais ni yule anayevaa suti ya kawaida ambayo anakuwa jirani na huyo msaidizi wa Rais. Huyo kazi yake ni kubeba mafaili yote ya rais pamoja na simu za mkononi za rais na iwapo anapigiwa na mtu yeye ndiye hupokea na kumuunganisha na rais na mambo mengine binafsi ya rais. Ndiyo maana rais akimaliza muda wake yeye hurudi makao makuu ya jeshi kama ilivyo kwa yule mtangulizi wake aliyekuwa msaidizi wa Mkapa, ambaye kwa sasa amepandishwa cheo.
umesomeka mkuuu, je uteuzi wake hufanywa na "mkulu wa kaya mwenyewe" au chombo gani coz huyu ni "muhimu sana" kwa mnene wa pale magogoni. tup kidogo kwani inaonekana ulipokuwa 6 week pale TMA :laser:ulikuwa kati ya platoon commander :fencing: au brigade commander:painkiller:na ndo maana una ABC fulani.
 
Hapo nikazi ya usalama,na sisuala la kuongea mawili matatu.

Kwani ni kazi ya dini au kazi ya ki "philanthropist' ? wote tunajua kuwa huyu ni kitengo hivyo kijana atapiga nae swaga gani?
 
si anamuiga bosi wake maana naye anachekacheka hata bila kutekenywa..na kigezo kikubwa kuchaguliwa kilikuwa alazima awe anapenda kucheka cheka
 
Chief of Protocol Ambassador Mohammed Maharage Juma in a candid photo with President Kikwete's Aide de Camp Colonel Ibrahim Kimario.
Kumbe huyu jamaa nae huwa anafurahi kwa kutabasamu na kucheka. hebu wacheki walivyofurahi na mkuu wa itifaki bwana maharage Juma. tupia maoni yako.

attachment.php

ni tabasamu toka kwa mutu mukubwa ikabidi acheke..
 
si anamuiga bosi wake maana naye anachekacheka hata bila kutekenywa..na kigezo kikubwa kuchaguliwa kilikuwa alazima awe anapenda kucheka cheka

mmhhh... mbona hayo mabwaku mkuuu. nami ntaanza kucgheka cheka :laugh::clap2::laugh:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom