Kumbe Bi Siti Mwinyi Ndo Mmiliki Wa Mv SPICE ISLANDER,

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Baada ya Kuripotiwa Mmiliki wa Meli ni yule mbunge mh Jaku.kumbe yule ni Msimamizi tu,lakini wamiliki halali ni mke alieachika wa awamu ya pili aliekutwa na madawa ya kulevya Bi Siti Mwinyi.Na mwanae Dr Hussein mwinyi ambae ni Waziri wa ulinzi.

Baada ya kusikia hZ TAARIFA nilianza kuziuliza kwa wapemba ninao wafahamu ambao ni wanajeshi jwtz Wote walikiri kuwa Wamiliki wa Meli hao niliowataja hapo juu na wakaenda mbali zaidi kuwa serikali haitamtaja kamwe,zaidi ya kuweka propaganda tu hapo "Wazanzibar wengi tunajua hilo lakini hatuwezi kusema"

Kama hizi habari ni za kweli sitakuwa na budi kuendelea kuchukia HAYA MAGAMBA.
 
Mh nimesoma, ila napita tu, ngoja tuisubiri tume ije na majibu hapa
 
Hapo siri kufumuka ni ishu ngumu sana,kwan hata tume imeundwa na walewale watuhumiwa.
 
Zubeda mchuuzi,,anakuja barazani kuchuuza upupu.....

kwanza anazasema amewatufa wapemba wampe habari,, kisha yeye anajiita Mzanzibari mbona husomeki!
 
Dah sio mchezo, kama ni kweli ya nini sasa kuwashtaki maskini wale wafanyakazi wa meli ambao hawana maamuzi ya mwisho na chombo?
 
Habari hii siwezi kuikataa wala kuikubali kwa haraka. Hata hivyo, kigugumizi cha mmiliki inaleta mashaka. Na ktk utafiti mashaka ni mwanzo wa kujua ukweli.
 
Kama ni kweli basi Dr Hussein Mwinyi hafai hata kuwa mwenyekiti wa serikali za mitaa maana kasimamia Mbagalla, Gongo la Mboto na sasa hii Spice Islander?
 
Built in 1967 as Marianna for an unknown owner,[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/MV_Spice_Islander_I#cite_note-Fakta-1[/SUP][SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/MV_Spice_Islander_I#cite_note-Drebes-2[/SUP]

she was later sold to Theologos P. Naftiliaki, Piraeus, Greece.[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/MV_Spice_Islander_I#cite_note-Fakta-1[/SUP]

In 1988,[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/MV_Spice_Islander_I#cite_note-Drebes-2[/SUP] Marianna was sold to Apostolos Shipping and renamed Apostolos P.

She was later sold to Saronikos Ferries and placed in service on the Piraeus - Aegina - Angistri route.


In 2005, Apostolos P was registered to Hellenic Seaways.

In 2007,[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/MV_Spice_Islander_I#cite_note-Fakta-1[/SUP] she was sold to Makame Hasnuu, Zanzibar, Tanzania.[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/MV_Spice_Islander_I#cite_note-Drebes-2[/SUP] and renamed Spice Islander .[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/MV_Spice_Islander_I#cite_note-BBC14864400-3[/SUP]
 
Hii maneno nimeisikia toka kwa chanzo cha uhakika lakini jina la Sitti Mwinyi halikutajwa kabisa Mmiliki wa mali ni Dr Hussein Mwinyi.Serekali inajaribu kuzima hoja ya mmiliki kwasababu mkuu wa Kaya anataka amwachie kigoda cha magogoni.Mabomu ya Mbagala tume iliundwa mpaka leo ripoti haijatoka mtasubiri ripoti ya MV Spice Islander mpaka mtachoka.
 
Ishu si nani mmiliki tuache umbea
Kikubwa cha kujadili na kuishika Serikali ni uzembe wa kuhakiki na kuratibu vyombo vitoavyo huduma kwenye Bahari.

Iwe ya Hussein, Sitti, au Seif sio hoja kwani wana haki ya kufanya biashara kama Watanzania wengine.
 
Zubeda mchuuzi,,anakuja barazani kuchuuza upupu.....

kwanza anazasema amewatufa wapemba wampe habari,, kisha yeye anajiita Mzanzibari mbona husomeki!
Unaandika pumba,nimekwmbia wapemba weng ambao ni wanajeshi wao wamesema mwenye meli ni huyo mama hao wengine ni changa la macho kuficha ukweli.
 
Hii maneno nimeisikia toka kwa chanzo cha uhakika lakini jina la Sitti Mwinyi halikutajwa kabisa Mmiliki wa mali ni Dr Hussein Mwinyi.Serekali inajaribu kuzima hoja ya mmiliki kwasababu mkuu wa Kaya anataka amwachie kigoda cha magogoni.Mabomu ya Mbagala tume iliundwa mpaka leo ripoti haijatoka mtasubiri ripoti ya MV Spice Islander mpaka mtachoka.
Wote hao wawili yeye na mama yake.
 
Baada ya Kuripotiwa Mmiliki wa Meli ni yule mbunge mh Jaku.kumbe yule ni Msimamizi tu,lakini wamiliki halali ni mke alieachika wa awamu ya pili aliekutwa na madawa ya kulevya Bi Siti Mwinyi.Na mwanae Dr Hussein mwinyi ambae ni Waziri wa ulinzi.
Baada ya kusikia hZ TAARIFA nilianza kuziuliza kwa wapemba ninao wafahamu ambao ni wanajeshi jwtz Wote walikiri kuwa Wamiliki wa Meli hao niliowataja hapo juu na wakaenda mbali zaidi kuwa serikali haitamtaja kamwe,zaidi ya kuweka propaganda tu hapo
"Wazanzibar wengi tunajua hilo lakini hatuwezi kusema"
Kama hz hbr ni za kweli sitakuwa na budi kuendelea kuchukia HAYA MAGAMBA.
Kumbe kama wamiliki wa hiyo meli ni hao basi, tuendelee kuliwazana kwa matatizo yaliyotukuta na kuondoka na roho za wapendwa wetu, pia napenda kushauri wananchi tusiendelee kutaka wamiliki na mamlaka zilizoratibu hii safari ziadhibiwe maana huo utakuwa ni uchochezi na utavuruga amani tuliyoizoea
 
Duh hata kama kubebana jamani nafikiri ifike sehemu tuseme wazi kwamba fulani habebeki na tuchague mtu safi, kila siku kashfa yy tu? Halafu tunamuweka aje kuwa rais kweli tutafika hii inchi kweli hv?
 
Jamani mmiliki wa meli ana kesi ya kujibu?? kama kibali cha biashara anacho tatizo lipo kwa mamlaka zinazosimamia usafiri wa majini..

Hapa auliziwe ni nani mwenyekiti wa mamlaka ya usafiri wa majini Zanzibar?? na woote walio chini yake..Awe Sitti mwinyi au Husein au hata mimi mwenyewe..Je nikakae kuangalia meli imepakia abiria wangapi na wakati kuna watu wenye wajibu bandarini? Sasa kwenye Ndege ingekuwa ni lengo kujaza si wangepakia kama magari ya Mbagala??? Hapa pana hoja ya maana ambayo ni walioundwa kuwa tume na wenye mamlaka ya usafirishaji Zanzibar Si mtoto wa mjomba kwa shangazi????? Nimeyazoea hapa unguja..kila mtu ndugu kwa mwenzie...
 
Back
Top Bottom