Kumbe Best Student ni Dili......

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,206
36,189
Habari zenyuu,

Nimeikuta hii picha mahali..

Nikabaki nashangaa, hivi kumbe kuwa best student ni dili eehh.... nilichojiuliza tuu huyu student ataweza kuhimili gharama za kuendesha hii gari?
Halafu hapo wameonesha best student kuanzia nafasi ya kwanza hadi ya 10...(top ten students) sasa huyu wa IST sijui ndo wa kwanza au wa kumi au wa tano.... au hii ni ya wanafunzi wote kumi?

Na kama huyu ndo wa kumi je wa kwanza alipewa zawadi gani?

20180320_154547.jpg

Habari na picha...

Kasinde.
 
Hao jamaa wapo vizuri sana kielimu!!...Mtoto wako kutopata ZERO uhakika!!!..
 
Habari zenyuu,

Nimeikuta hii picha mahali..

Nikabaki nashangaa, hivi kumbe kuwa best student ni dili eehh.... nilichojiuliza tuu huyu student ataweza kuhimili gharama za kuendesha hii gari?
Halafu hapo wameonesha best student kuanzia nafasi ya kwanza hadi ya 10...(top ten students) sasa huyu wa IST sijui ndo wa kwanza au wa kumi au wa tano.... au hii ni ya wanafunzi wote kumi?

Na kama huyu ndo wa kumi je wa kwanza alipewa zawadi gani?

View attachment 720581

Habari na picha...

Kasinde.
We kasinde na wewe kwa upekenyuzi...habari za TBR but??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom