Bangi kama mchicha tu mkuuLeo nimepiga pafu zangu 5 za bangi lkn sijaona madhara yoyote wanaosema bangi inamadhara wapuuze tu
Sahivi nimekaazangu juu ya TV naangalia makochi badae tena nataka nipige pafu tano nyengine!
Hahaha......endelea siku ukienda kuoga mafuta ya kupikia ukidhani maji mdipo utajua hahaahah
HeheheEndelea tu mkuu nyingine pika kama mboga