Kumbe bado yupo Jela huyu Manju wa R&B?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,369
Inasemekana aliomba atolewe Jela sababu ya Corona,(wamshikilie akiwa nyumbani) Majaji wamekataa!

Storm is not over yet!
b67cda9553ffd6a66390c597cbf39ad9.jpg
e0daf4dc57488b625f383c056cda29a5b9-r-kelly.2x.rsquare.w1200.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema ni mtuhumiwa wa ubakaji sio mbakaji,kuhusu Kutolewa wakati wa Corona mbona nchi nyingi tu watu wameachiwa kwa sababu hiyo,hata hapa Tz,na hakuomba aachiwe jumla,aliomba awekwe' lock up ya nyumbani'
KUNA SEHEMU NIMESEMA KUWA NI MWENYE HATIA? MI NIMESEMA NI MBAKAJI ACHA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE, YEYE NANI ATOKE WAKATI WA CORONA??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom