Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 1,924
- 3,245
kwani hospitali, madawa, WHO, na mengineo yaliletwa duniani na waliopewa akili hizo na nani?Wapi nimesema WHO ni malaika ?
Vitu vyote unavyotumia vimeletwa dunia hii na malaika ?
Madawa yote huko hospitali unayotumia yameletwa na malaika ?
Aliekupa na aliewapa akili hizo anataka zitumike kwa usahihi na ipaswavyo, kwa hayo ajitwalie utukufu.