Watu kadhaa kwenye basi moja walikuwa wakijadiliana yaliyojiri Shinyanga; mabomu, vurugu, nk. Wanasema, '..kabla ya kupiga mabomu wanasea, WANANCHI LALA CHINI, NA BAADA YA HAPO MJIOSHE NA VITAMBAA VYA MAJI' Ndipo wao hulipua mabomu juu, kutii amri waliyopewa. Wakati wa uchaguzi pia walitoa inshara za vidole 2. Mara nyie hakikisheni mnakaa mistari 2, huku wakionyesha vidole 2. Mara, nyie zingatieni mambo mawili, huku wakionyesha vidole 2. Mara wanajifanya wameshika tama lakini kwa vidole viwili....
Yawezekana maneno hayo siyo ya kweli, kwani ni ya kusikia
Yawezekana maneno hayo siyo ya kweli, kwani ni ya kusikia