Elections 2010 Kumbe askari nao wanapenda CHADEMA?

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Watu kadhaa kwenye basi moja walikuwa wakijadiliana yaliyojiri Shinyanga; mabomu, vurugu, nk. Wanasema, '..kabla ya kupiga mabomu wanasea, WANANCHI LALA CHINI, NA BAADA YA HAPO MJIOSHE NA VITAMBAA VYA MAJI' Ndipo wao hulipua mabomu juu, kutii amri waliyopewa. Wakati wa uchaguzi pia walitoa inshara za vidole 2. Mara nyie hakikisheni mnakaa mistari 2, huku wakionyesha vidole 2. Mara, nyie zingatieni mambo mawili, huku wakionyesha vidole 2. Mara wanajifanya wameshika tama lakini kwa vidole viwili....

Yawezekana maneno hayo siyo ya kweli, kwani ni ya kusikia
 
Hayo yanawezekana kabisa hata wao wamewachoka hao mafisadi ,maaskari wetu wanatumika tu kuwatengenezea njia lakini wao wanaambulia patupu tuko nao kwenye ukombozi huu.
 
Wanaipenda sana Chadema hata Arusha, walitoa ushirikiano mzuri sana kwa wanachadema wa kati wa sakata la kusubiri matokeo.
 
Japokuwa baada tu ya kutangazwa Lema wananchi waliliponda gari la maji ya pilipili kwa mawe...nadhani ni ushabiki uliozidi!
 
Hhahahaaaaaaaaaaa mi nimeipenda hii, nao wanaona jinsi nchi inavyoenda na umasikini uliokidhiri, wamechoka kuka kwenye mahanga na mishahara kiduchu.:smile-big:
 
Watu kadhaa kwenye basi moja walikuwa wakijadiliana yaliyojiri Shinyanga; mabomu, vurugu, nk. Wanasema, '..kabla ya kupiga mabomu wanasea, WANANCHI LALA CHINI, NA BAADA YA HAPO MJIOSHE NA VITAMBAA VYA MAJI' Ndipo wao hulipua mabomu juu, kutii amri waliyopewa. Wakati wa uchaguzi pia walitoa inshara za vidole 2. Mara nyie hakikisheni mnakaa mistari 2, huku wakionyesha vidole 2. Mara, nyie zingatieni mambo mawili, huku wakionyesha vidole 2. Mara wanajifanya wameshika tama lakini kwa vidole viwili....

Yawezekana maneno hayo siyo ya kweli, kwani ni ya kusikia

NDIYO YALIYOBAKI... Hivi sherehe za kumuapisha Dokta Silaa yanafanyika LINI na WAPI vile? Teh teh teh!

Peeeeeoooooppppllllllllleeeeeeessssss Pppppppooooooowwwwwweeeeeeerrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!! Midomo yote sasa isha:tape:
 
ukweli mtupu kwani nimeshuhudia kwa machoyangu mwenyewe askari waki sifia chadema
 
NDIYO YALIYOBAKI... Hivi sherehe za kumuapisha Dokta Silaa yanafanyika LINI na WAPI vile? Teh teh teh!

Peeeeeoooooppppllllllllleeeeeeessssss Pppppppooooooowwwwwweeeeeeerrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!! Midomo yote sasa isha:tape:

Rafiki mjinga unayejiita Kudadadeki cheka mpaka meno yatoke lakini ujue unajicheka mwenyewe vinginevo kama wewe ni mmoja wa watu wanaofaidika na ujambazi wa CCM. kama we mwananchi wa kawaida na unashabikia kunyang'anywa ushindi Dr. Slaa ujue unajicheka mwenyewe bila kujijua.
Watanzania wengi ujinga umetutawala mpaka visiginoni na tunashabikia pasipo kuelewa. Hata uwe fisadi lakini si muhindi ujue unawacheka wadogo zako wanaosoma watu 200 kwenye chumba cha watoto 40 bila mwalimu, unachekelea shule za kata za kwenu zenye mwalimu mkuu na msaidizi huku wanafunzi wakiwa 500; walimu hao wote wakiwa wa kiswahili na historia wakifundisha watoto hesabu ya kidato cha nne.
Unachekelea kukatika umeme kila wiki kama si kila siku kutokana na ufisadi wa Kina Rostam Azizi na Lowasa kwenye mitambo ya umeme.
Unashabikia kijana wa kwenu kusoma shule ya kata kukosa mwalimu anayepata daraja la tatu kidato cha sita si kwamba hana akili ila kwa sababu hakuwa na waalimu na kunyimwa mkopo wa chuo kikuu.

Ukitafakari utaona jinsi ulivo tumbafu mkubwa.
 
Japokuwa baada tu ya kutangazwa Lema wananchi waliliponda gari la maji ya pilipili kwa mawe...nadhani ni ushabiki uliozidi!

Kuna wengine walitaka kujua yanawasha namna gani watu utawaweza????
 
Watu kadhaa kwenye basi moja walikuwa wakijadiliana yaliyojiri Shinyanga; mabomu, vurugu, nk. Wanasema, '..kabla ya kupiga mabomu wanasea, WANANCHI LALA CHINI, NA BAADA YA HAPO MJIOSHE NA VITAMBAA VYA MAJI' Ndipo wao hulipua mabomu juu, kutii amri waliyopewa. Wakati wa uchaguzi pia walitoa inshara za vidole 2. Mara nyie hakikisheni mnakaa mistari 2, huku wakionyesha vidole 2. Mara, nyie zingatieni mambo mawili, huku wakionyesha vidole 2. Mara wanajifanya wameshika tama lakini kwa vidole viwili....

Yawezekana maneno hayo siyo ya kweli, kwani ni ya kusikia
:peace::peace::peace::peace:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom