Kumbe Aliponea Chupuchupu: Kama Kesi ingepokelewa ICC saa hizi Magufuli angekuwa jela

Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Kwan mwendazake alikuwa na kesi ya uhalifu wa kivita..!?
Labda tu nikukumbushe kule Kenya machafuko yaliua watu karibu 2000, kina Kenyata walichomoka huko ICC.
Wewe na ushamba unafikiri ni rahisi kwa Mwendazake kufungwa wakati hata kesi yenyewe hakuna. Inawezekana hata hujui ICC wanadeal na kesi gan. Kesi ya ujambazi wa kutumia silaha ndio ushahidi eti mwendazake angefungwa..!!?
 
Kwan mwendazake alikuwa na kesi.
Labda tu nikukumbushe kule Kenya machafuko yaliua watu karibu 200, kina Kenyata walichomoka huko ICC.
Wewe na ushamba unafikiri ni rahisi kwa Mwendazake kufungwa wakati hata kesi yenyewe hakuna. Inawezekana hata hujui ICC wanadeal na kesi gan
Mahakama ya Mungu iliingilia kati
 
Mahakama ya Mungu iliingilia kati
Mahakama ya MUNGU ni mbinguni. Kwani unavojua wewe JPM asingefanya hayo unayoamin alikosea alipangiwa kuishi miaka mingapi?
Hapa duniani hakuna mwenye mamlaka au uwezo wa kujua kwa nini MUNGU ametaka fulani afe. Acheni kutumia Dini vby.
Unaweza kusema kwa nini Yesu alikufa akiwa na miaka 33 au. Muhamad kuishi 63 yrs.
Hebu tuambie kwenye familia yako waliokufa Watoto Wachanga, Vijana, Watu Wazima na Wazee kabla ya kuitwa Vikongwe walikosea nn wakahukumiwa na MUNGU kufa?

CHUKI ZA KISIASA ZIMETUFANYA TUWE WAJINGA SANA
 
Chuki za kisiasa ndio zimemuondoa Duniani. Mungu hapendi mashetani kama yeye. Mwenzake aliyebaki hai sasa hivi anajuta Huko Gerezani.
 
Kama hujui dini kaa kimya. Hata huyo shetan ambaye unaamini mungu anamchukia, mbona bado angali hai.
na atakuwepo mpaka
kiama?
Kama una uelewa jenga hoja zenye nguvu na sio kutumia nguvu kujenga hoja
 
Usicheze na Mungu wewe. Hatimae Bwana akasikiliza maombi yetu.
 
Na wale Ndugu zako waliokufa Mungu aliwaua baada ya kusikiliza MAOMBI ya nani.
Na kama Watu WASINGEOMBA Mungu awaue NDUGU ZAKO wangeishi miaka mingapi?
WE JAMAA KUMBE MWEPESI SANA
 
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Endelea kuota mkuu!!
 
Makonda akimbie Nchi mapema aka seek Political Asslyum anywhere, Yasije kumkuta ya Sabaya
 
Kwan mwendazake alikuwa na kesi ya uhalifu wa kivita..!?
Labda tu nikukumbushe kule Kenya machafuko yaliua watu karibu 2000, kina Kenyata walichomoka huko ICC.
Wewe na ushamba unafikiri ni rahisi kwa Mwendazake kufungwa wakati hata kesi yenyewe hakuna. Inawezekana hata hujui ICC wanadeal na kesi gan. Kesi ya ujambazi wa kutumia silaha ndio ushahidi eti mwendazake angefungwa..!!?
Hukumu aliyopata ni kubwa kuliko ya huko Guantanamo
 
Back
Top Bottom