stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Wakuuu, kuna mtu alisema kuwa kuna punguzo la asilimia 80 ya mauzo ya nguo Kwenye maduka ya Dar kwa ajiri ya kusherehekea maadhimisho ya covid-19, kumbe mtu mwenyewe hizo asilimia hazijui maskini Wangu.
Nimemsikiliza akihojiwa na radio moja ameulizwa swali kuwa Kwa mfano nguo iliyokuwa inauzwa tsh. 100,000 mtu anatakiwa aende na shilingi ngapi amesema kuwa Kwa punguzo la asilimia 80 anatakiwa aende na tsh. 92,000.
Eti punguzo la asilimia 80 kwa shilingi laki moja eti ni 8,000 MUNGU wanguuuuuuuuuu! Hivi huyu bwana alienda shule kweli? Nimesikitika Sana
Sent using Jamii Forums mobile app