Kumbe ajira zipo Hata kwa waalimu wa arts. Sanaa

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Baada ya kuondolewa wafanyakazi hewa Sasa waalimu wa arts kaeni mkao wa kula wote wanaajiriwa. Chanzo cha Habari Rais magufuli Leo huko moshi. Nawasilisha
 
Yaani mmeshaambiwa na Tamisemi kwamba kuna Ziada ya Walimu 7000 wa Masomo ya Sanaa na bado mnajihesabia tu
Duuh kweli hatari.........
 
Amesemaje Mkuu ebu tupe matumaini kidogo,maana nilikua mbali na TV
Kasema saiv ajira zimefunguka watu wanaajiriwa walisitisha kwa ajili ya kupisha zoezi la kusaka wafanyakazi hewa. Saiv ni mwendo wa kuajiri kwa secta zote kama hivyo angesema walim wa arts hatowaajiri Ila kasema kwa wote mkuu
 
Back
Top Bottom