mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
UBAGUZI,KAMATAKAMATA DHIDI YA UPINZANI NINI TAFSIRI YAKE KATIKA AWAMU HII?
Na Mwanakijiji lugusi
Nilishawahi kusema tz tumepata AJALI ya uongozi.pia viongoz wetu hawafuati misingi ya katiba ya nchi pia wengi Wa viongoz wetu hawajui majukumu yao na mipaka yao ya kazi HAWANA JOB DESCRIPTIONS/INSTRUEMNTS.Tusipowakataa na kuchukua hatua ya kuwapiga waziwaz hawa wanaojiita waheshimiwa watukufu hakika IPO siku wataleta mpasuko ndani ya taifa letu kwa sababu dalili za ubaguz Wakisiasa tunaanza kuona viashilia mpk watu kususiana futari huko mjengoni hakika OGOPA DHAMBI YA KUWAONEA WENGINE TENA WANAOJITAMBUA WAMEKAA KIMYA.Nashangaa hata hawa viongoz Wa dini wanashuhudia mgawanyiko huu unatokea na wao wapo kimya yaan ni kiongoz mmoja tu mchungaji GWAJIMA ndiye mwenye uthubutu huo wa kukemea mambo yanapokwenda sivyo ndani ya taifa letu
Imagine Leo katibu Wa uenezi Wa chama cha mapinduz Humphrey polepole anafanya ziara nchi nzima na mikutano yake mingine anafanyia kwenye majengo ya serikali lkn cha kushangaza wala haguswi na yeyote
Lakin wapinzani wakithubutu tu kufanya mikutano yao Mara utaskia wamedakwa na polisi na kupelekwa sentroooo hakika hii inaitwaga DOUBLE STANDARD aisee inauma sana na ukichukulia 2020 ni parefu sana je hawa wapinzan watavuna wanachama wapya lini?
Mimi Mwanakijiji Lugusi nasema
Iwapo WATZ tukianza KUBAGUANA KWA ITIKADI,CHAMA,KABILA,UKANDA unaosababishwa na baadhi ya viongoz tuliowapa dhamana hakika hatasalimika MTU bila kujali itikadi zetu wote tutaumia tu
Nchi hii ni yetu sote tukianguka tutaanguka sote,tukilia tutalia wote hivyo ni jukumu letu kama watz tukaishi kwa umoja wetu aliotuachia baba Wa TAIFA LETU MWL NYERERE
ALAMSIKI