tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Toka Rais Magufuli aingie madarakani amekuwa akifanya mabadiliko mbalimbali ili kuijenga Tanzania mpya na haya ndiyo maono yako na kusisitiza watanzania kufanya kazi kwa bidii.
Je watanzania kwa toka November 2015 mpaka Decenber 2017 wamemuelewa Rais anataka Tanzania ije kuwa ni ya namna gani au maono yako ni yapi au ndoto zake ktk kuj=ijenga Tanzania mpya watanzania wamemuelewa kweli ili twende pamoja na kuifanya hiyo Tanzania mpya?
'Mfano wa Musa alipokuwa anawatoa wana wa Israel kutoka nchi ya utumwa Misri kwenda nchi ya ahadi waliopewa na Mungu wao ...walipitia misusuko mingi milima na mabonde na vikwazo vingi mpaka kufika nchi waliohaidiwa na Mungu wao'
Je watanzania wanajua wanakokwenda katika Tanzania mpya?