kulipua mabomu kila siku ni usumbufu kwa raia

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wazee nasikitishwa sana na hali inayoendelea gongolamboto ulipuaji wa mabomu,yule kamanda wao kasema yatalipuliwa mwezi mzima,yaani vishindo vinatisha,naona kama ni usumbufu kwa raia,,,,hivi hayo mabomu mlinunua ya nini???kwa nini wasiyaweke kambi zilizo karibu na border za nchi yetu,,hawa jamaa ovyoo sana mzee!
 
usilaumu sana ujinga ndio urithi watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom