Kulipia damu hospitalini

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,276
17,983
Lisemwalo lipo.
Serikali ina mpango wa kuanza kuwatoza wanaongezewa damu. Kwanza, kwenye hospital binafsi na baadaye, hata zile za serikali.

Watanzania hujitolea bure damu ili kuwanusuru watanzania wenzao.

Hili la kuanza kutoza linaleta ukakasi mwingi sana.

Kitachobaki ni kulipia Oxygen,tutaambiwa ni ya serikali.
 
Back
Top Bottom