Kulipia bill ya maji msaada kwa walio Tanga

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,905
2,000
Naomba kueleweshwa namna ya kulipia maji kwa simu. Unaingiza namba ya akaunti gani?
 

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,596
2,000
Naomba kueleweshwa namna ya kulipia maji kwa simu. Unaingiza namba ya akaunti gani?
Ingiza A/c no.iko kwenye bili yako au SMS ya bili,iliyotumiwa kwenye simu yako,kama huna hivyo,nenda ofisini kwao,utaelekezwa vizuri.Wafanyakazi wa Maji,ni wasikivu sana na waeleweshaji wazuri sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom