Kulipa kwa control namba, ajali barabarani zimepungua,ujambazi umepungua kumbe inawezekana

barabara nyingi kazikuta vipi wakati alikuwa waziri wa ujenzi kabl ya urais
Kwahiyo hizo hospitali anazosifiwa kajenga kumbe zimejengwa na waziri wa afya, na sio yeye, ama?! Na hizi electronic payment zinazojadiliwa hapa ni kazi ya waziri wa fedha? Na ile SGR imejengwa na waziri wa miundombinu, si ndo unachomaanisha?! Na kwa maana nyingine, hata zile ndege ni work-done by waziri wa uchukuzi?
 
Bila ya shaka wewe CDM chuki yako wala haikusaidii

Nina documents kibao hapa za malipo ya kodi hadi 2016 brunch zote za TRA na manispaa malipo yalikua yanafanywa katika account za brunch zao

Baadae JPM akasema malipo yote ya kodi za serikali yafanyike kupitia control namba
Poleni kwa kufiwa
 
Back
Top Bottom