Meritta
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 1,303
- 292
Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile sana kwa kuwa uyo binti hana wazazi na pia uyo kaka anampenda na anasaidia uyo binta mpaka sasa.
Tatizo linakuja ni kuwa uyo dada yupo chuo sasa kakutana na mtu mwingine na uyo mtu mpya kampagawisha ile mbaya mpaka anamuona yule kaka mshamba na sasa hampendi kama zamani ila linamkondesha ni ile msaada aliyokuwa anayompa, pia yule kaka anajua historia ya yule binti maana wametoka mbali.
Binti hana hisia za kimapenzi kwa yule kaka na yule kaka hasikii wala haoni kwa yule binti pia anataka kutangaza ndoa sasa uyu dada yupo njia panda kumwambia ukweli au kubwa zaid ni ufadhili aliokuwa naupata ndo shida kwake