Kulipa fadhila kunamkondesha

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,303
292
Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile sana kwa kuwa uyo binti hana wazazi na pia uyo kaka anampenda na anasaidia uyo binta mpaka sasa.

Tatizo linakuja ni kuwa uyo dada yupo chuo sasa kakutana na mtu mwingine na uyo mtu mpya kampagawisha ile mbaya mpaka anamuona yule kaka mshamba na sasa hampendi kama zamani ila linamkondesha ni ile msaada aliyokuwa anayompa, pia yule kaka anajua historia ya yule binti maana wametoka mbali.

Binti hana hisia za kimapenzi kwa yule kaka na yule kaka hasikii wala haoni kwa yule binti pia anataka kutangaza ndoa sasa uyu dada yupo njia panda kumwambia ukweli au kubwa zaid ni ufadhili aliokuwa naupata ndo shida kwake
 
Kwanini huyo dada hakumuambia toka mwanzo huyo kaka kuwa hana feeling nae ili huyo mkaka ahamue kusuka au kunyoa? Wadada wengine bwana! Misaada anataka kumbe moyoni ana yake! Anyway, mkataa pema pabaya panamuita!

Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile sana kwa kuwa uyo binti hana wazazi na pia uyo kaka anampenda na anasaidia uyo binta mpaka sasa.

Tatizo linakuja ni kuwa uyo dada yupo chuo sasa kakutana na mtu mwingine na uyo mtu mpya kampagawisha ile mbaya mpaka anamuona yule kaka mshamba na sasa hampendi kama zamani ila linamkondesha ni ile msaada aliyokuwa anayompa, pia yule kaka anajua historia ya yule binti maana wametoka mbali.

Binti hana hisia za kimapenzi kwa yule kaka na yule kaka hasikii wala haoni kwa yule binti pia anataka kutangaza ndoa sasa uyu dada yupo njia panda kumwambia ukweli au kubwa zaid ni ufadhili aliokuwa naupata ndo shida kwake
 
hapa hamunishida kabisa....sasa huyu jamaa mwingine alikuwa anayafanya hayo kwa mapenzi yake. hakulazimishwa. hivyo basi lazima akuali kuwa investment inaweza lipa hao hapana sasa kwa bahati mbaya imekula kwake.

ni bora huyu dada amwambie jamaa ukweli maana kama ataingia kwenye ndo na huyo jamaa ktachotokea ni kwamba demu atendelea kucheat na jamaa na mwishio itakua sio ndoa tena.
ni ngumu lakini inabidi afanye huo uamuzi!!!
 
Hili jambo lipo sana...japo katika sura tofauti.
Kwamba mwanaume anaamua kumuendeleze mwenzi wake...ila mwanamke akishaendelea anaona kwamba yeye sio wa 'class' ya yule mwanamme....na hili linasababisha wanaume wengi kuwa na hofu ya kuwekeza katika maendeleo ya wanawake....

duuu iasee inauma sana
unajua mtu ukifanya kitendo cha kinyama bila hata
yule muhusika au watu kukueleza nafsi inakusuta na unajikuta unakosa amani katk maamuzi ya
hilo jambo lenyewe...mwambie asimtendee huyo kaka ubaya na kama kumuacha amuache mapema kwa taarifa
ila lazima yamrudi
 
kama hampendi amwambie mapema ili waachane naye. Ni ajabu kama huyo mfadhili alikuwa hajui hilo linaweza kutokea.
 
Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile sana kwa kuwa uyo binti hana wazazi na pia uyo kaka anampenda na anasaidia uyo binta mpaka sasa.

Tatizo linakuja ni kuwa uyo dada yupo chuo sasa kakutana na mtu mwingine na uyo mtu mpya kampagawisha ile mbaya mpaka anamuona yule kaka mshamba na sasa hampendi kama zamani ila linamkondesha ni ile msaada aliyokuwa anayompa, pia yule kaka anajua historia ya yule binti maana wametoka mbali.

Binti hana hisia za kimapenzi kwa yule kaka na yule kaka hasikii wala haoni kwa yule binti pia anataka kutangaza ndoa sasa uyu dada yupo njia panda kumwambia ukweli au kubwa zaid ni ufadhili aliokuwa naupata ndo shida kwake
Huyo mdada nae pia sie wala hana fadhila,dunia ya leo ukimpata mtu akikusaidia kusoma unatakiwa umlinde kama unavyo linda jicho lako na kijiti,
leo kapata mwengine ndio anaona huyo jamaa alomtoa tongo za macho amekua mshamba,amakweli wanawake wengine akili zao kama mavi,mwambie huyo mdada asiache mbachao.... na angefanyiwa yeye hayo angeyakubali? akishapata jibu itakua ndio itakua msaada kwake.
 
sasa kipi bora? kama hajisikii kumpenda ajilazimishe kufunga nae ndoa igeuke disaster au aolewe na ane mfeel? acheni kumhukumu,...haya yapo na yanatokea..yawezekana kabisa circumstances na umaskini ndo uliomforce kuwa na huyo jamaa kwa kuwa hakuwa na msaada lakini hakuwa moyoni kwake. je aolewe kwa lengo la kulipa fadhila?mnadhani wawili hao watakuwa na furaha maishani? and what about watoto watakaozaliwa kwenye familia ambayo haina upendo? ni bora tu amwambie anavyojisikia na kuvunja uhusiano bila hivyo atakuwa anatengeneza bomu ambalo litalipuka tu one day.
 
kweli kwenye miti hakuna wajenzi, huwezi jua mwenzako labda alimbania hadi mama yake akusaidie wewe, leo hii unamuona mshamba, kwani wewe umetokea wapi, hangaika na dunia itakufunza,ndio badae mnawafata wenzenu wakiwa washaamua kuoa na kujifanya huwezi ishi bila yeye kumbe jua la utosi lishakupiga
 
Kashavuna ndo anamona mwenzie mshamba? Mbona mwenzie hakumuona mshamba alipokuwa kwenye shida na kutokuwa na elimu? Haya ndo matatuzo waliyo nayo dada zetu. Yeye kama alijua kuwa ana mtu wake kwa nini aliruhusu mtu mwingine katika maisha yake. Siku zote uhusiano mpya huwa unakuwa mtamu kuliko wa zamani mpaka hapo huo mpya nao utakapovunda, MWIZI TU HUYO
 
Hivi kwanini mkisomesha ndio roho zinataka kuwatoka. Starehe zingine hata kama zilikuwa za gharama zaidi huwa hamlalamiki.
 
....hizi kesi nshaziskia sana,halafu mwisho picha binti anarudi na kusema i wont livu wizauti you!!we ngoja,utaona tu
 
ukiwa na shida uytamuona mtu ni wa maana sana lakini ukishamaliza shida zako unaanza visingizio ya kutokuwa na hisia .. hivi mwenzako humfikirii alivyowekeza kwa moyo mmoja amejinyima mangapi na kama hukumhitaji kwa nini usimweleze toka mwanzo
 
kama hisia zimeisha afanyaje?
 
Huyo jamaa mpya naye anampenda huyo binti kama yule wa zamani?? Mwambie huyo kama naye anapendwa si vibaya kumwambia mapema mfadhili wake namna anavyofeel. Lakini awe makini baadae asije kulia maana huenda huyo jamaa mpya anataka kumvua tu nguo...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom