Kulingana na Sheria za usajiri wa makampuni: Kampuni A inaweza kusajiri business name na kulitumia katika moja ya biashara zake?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Wadau naomba kufahamishwa, nina malengo ya kutoka kwenye sole proprietorship na kufungua kampuni, ila nina biashara mbili tofauti na ninataka nizitofautishe majina.

Naona kusajiri kampuni mbili kwa wakati mmoja ni mzigo kwangu, je naweza kusajiri moja pia kupitia hiyo moja nikasajiri na business name ya hiyo biashara nyingine.

Kwa lugha nyingine hiyo business name iwe chini ya umiliki wa hiyo kampuni?
 
Back
Top Bottom