Kulikuwepo siri gani nyuma ya ..............!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
1 . Mwl. Julius Nyerere daily alitembea na kifimbo mkononi!.
2 . Jomo Kenyatta daily alitembea na usinga mkononi !.
3 . Keneath Kaunda daily alitembea na Kitambaa cheupe mkononi !.
4 . Arap Moi daily akiwa na kijirungu kilichonakshiwa shanga za kimasai!.
5 . Sesseseko Mobutu daily alitembea na kofia kichwani iliyonakshiwa urembo wa Chui ilikua ni kofia yenye muundo alioubuni ye mwenyewe kiasi mtu yyt alikua kofia ya muundo ule, husemwa kavaa kofia ya Mobuttu.
Wadau wenza wale tuliokuwepo wkt huo tupeane uelewa mbona mi nahisi nyuma ya vitu hivyo palikua na nguvu za giza?
Naomba kutoa hoja.
 
Hata Nchemba hutembea na liskafu "dereki" kama mtoto mdogo anayejifunza kula....
 
Nina ushahidi wa Mobutu kama ilivyoelezwa na mwanaye kuwa hayo mavazi yote aliyokua akivaa ni moja ya masharti ya "kamati ya ufundi"
 
Hahahah mwigulu na liskafu lake cjui ndo mashart ya babu?

Nilimuona akihojiwa na StarTV huko kijijini kwao Iramba, alipoulizwa kwa nini anavaa mitambara shingoni kama mgonjwa wa Pepopunda, mwenyewe akadai eti anafikiria kwa namna hiyo itakua ni utambulisho wake na pengine ukawa ni utambulisho wa viongozi wa kitanzania katika ulingo wa kimataifa...
 
wengi hizo zilikuwa ndio kinga zao waliambiwa na akina Dr mkombozi siku hizi ni pete na chain

viongozi wengi wakiwa madarakani wanaogopa kulogwa au kung'olewa kirahi kwahiyo lazima wawe na kamati ya ufundi tena ya hali ya juu kama ile ya mobutu seseko kuku wa zebanga
 
Siku hizi maarifa yameongezeka... Viongozi wengi hata vigogo wana hirizi (pete na cheni wanazovaa) ingelikuwa enzi za mwalimu ndo ungewaona na virungu, vifimbo na hayo makofia km ya akina Mobutu....
 
Mtambuzi analo jibu, ngoja nikuitie!

Niko very sensitive na ahadi za kiivi !
Therefore ndiyo kusema nisipomuona hapa Mtambuzi kuniletea hizo details , ni sawa utakua umemuuzi achinjae umbwa (Dog) hivyo wazimu utakapoelekea ........... (Jibu unalo) hata urudi hom majogoo utanikuta verandani kwako nasubiria ahadi !
King'ang'a kiaaje? Na hivi nimemix blood za kule Pahi na Haubi !
Utan'taka !
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi maarifa yameongezeka... Viongozi wengi hata vigogo wana hirizi (pete na cheni wanazovaa) ingelikuwa enzi za mwalimu ndo ungewaona na virungu, vifimbo na hayo makofia km ya akina Mobutu....

Shem ! Hapo uliposema "makofia KM ya kina Mobuttu"
hiyo iniatial "km" ndiyo sijajua inastand for what?
Coz "km" inastand badala ya vitu vingi muhimu.
 
Mtambuzi analo jibu, ngoja nikuitie!

Ni namna tu ya kutafuta identity ingawa mara nyingi zinahusishwa na mambo ya kishirikina...
Siwezi kulizungumzia hilo kwa sababu mimi sio mdadavuaji wa mambo ya kishirikina, bali huwa naoteshwa kuhusu mambo muhimu yatakayotokea au kuwatokea watu walionizunguka..........
 
Niko very sensitive na ahadi za kiivi !
Therefore ndiyo kusema nisipomuona hapa Mtambuzi kuniletea hizo details , ni sawa utakua umemuuzi achinjae umbwa (Dog) hivyo wazimu utakapoelekea ........... (Jibu unalo) hata urudi hom majogoo utanikuta verandani kwako nasubiria ahadi !
King'ang'a kiaaje? Na hivi nimemix blood za kule Pahi na Haubi !
Utan'taka !

Tafadhali Mtambuzi niokoe binti yako na hili li Judgement.
Njoo useme jibu acha kuchungulia dirishani!
 
Last edited by a moderator:
Ni namna tu ya kutafuta identity ingawa mara nyingi zinahusishwa na mambo ya kishirikina...
Siwezi kulizungumzia hilo kwa sababu mimi sio mdadavuaji wa mambo ya kishirikina, bali huwa naoteshwa kuhusu mambo muhimu yatakayotokea au kuwatokea watu walionizunguka..........

Nashukuru umekuja,
Sio kwa ajili ya kujibu tu bali nilikuwa nimekumiss pia!
Msalimie Asnam!
 
Last edited by a moderator:
Ni namna tu ya kutafuta identity ingawa mara nyingi zinahusishwa na mambo ya kishirikina...
Siwezi kulizungumzia hilo kwa sababu mimi sio mdadavuaji wa mambo ya kishirikina, bali huwa naoteshwa kuhusu mambo muhimu yatakayotokea au kuwatokea watu walionizunguka..........

Asanta Mhe Mtambuzi kwa details zako za kina!
Aidha umemsaidia mtu flani kupata pumuo!
Nilikua siangalii cha mtoto wa nani, au ana relation na nani, ningekeshea kwake.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom