Kulikuwa na umuhimu wa huyu jamaa kuonekana kwenye hii picha?

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Huyu jamaaa (kushoto )hii ishu ameifanya dili la kumrudisha kwenye ramani.
tatu.JPG
 
Wengi tu watauza sura jamani!! Hivu ukitoA msaada ni lazima uite VYOMB VYA HABARI, WAPIG PICHA NK? MbUNG HUYU YAWEZEKANA ANA AFFILIATION NA HII ASASI NA AKAAMUA ATOKE KIAINA, HATA AZAN KABUTWAA!!

...Na Baba yako aonaye sirini atakujazi...............
 
Back
Top Bottom