Kulikuwa na ulazima wa Mapinduzi ya Zanzibar?

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,239
9,527
Kwasababu leo ni kilele cha siku ya mapinduzi na mimi kama kijana wa bara nayetamaani kujua mambo, basi naomba kuwauliza; hivi kulikuwa na sababu ya msingi ya mapinduzi ya Zanzibar au ni uzalendo tu wa rangi nyeusi?

Maswali yanaendelea; hivi mzanzibari ni mtu mweusi wa visiwa vya unguja na pemba au ni mtu yeyote mwenye mizizi ya uzawa unguja na pemba bila kujali rangi yake?

Tena niulize hivi sisi wa bara, maadhimisho ya mapinduzi Zanzibar yanatuhusu nini?

Halafu Muungano ulikuwa wa serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi Zanzibar au watu wa Tanganyika na watu weusi wa Zanzibar au watu wa Tanganyika na watu wa Zanzibar bila kujali rangi zao?

Naapa naahidi, mbele ya Mungu, mapinduzi nitakulinda mpaka kufa! Haya mapinduzi bado yako hatarini? Dhidi ya nani? Maadui wa nje ya Zanzibar au wazanzibari wenye asili ya kiarabu?

Maswali ninayo mengi ila navyoona, muungano wa Tanzania ulikuwa kwaajili ya kulinda serikali ya mapinduzi...ni muungano wenye vinasaba vya kibaguzi maana unawabagua wazanzibari kwa rangi zao.

Herini ya siku ya mapinduzi.

Ahlan tabu..
 
Serikali ya sultan iliiba kura alafu wakatengeza serikali ya kibaguzi ya waarabu wengi wakati wao wachache

wangefanya uchaguzi wa haki ,wangeacha aliyeshinda ashinde kungesipokua na mapinduzi
 
Hata Afroshiraz waliiba kura lakini walizidiwa...Mohammed Shamte alikuwa game changer.

Kwa uelewa wangu haya mapinduzi yaliratibiwa na muingereza, Nyerere akaachiwa utekelezaji..na yeye akamkabidhi Kambona utekelezaji..
Serikali ya sultan iliiba kura alafu wakatengeza serikali ya kibaguzi ya waarabu wengi wakati wao wachache

wangefanya uchaguzi wa haki ,wangeacha aliyeshinda ashinde kungesipokua na mapinduzi
 
Kwasababu leo ni kilele cha siku ya mapinduzi na mimi kama kijana wa bara nayetamaani kujua mambo, basi naomba kuwauliza; hivi kulikuwa na sababu ya msingi ya mapinduzi ya Zanzibar au ni uzalendo tu wa rangi nyeusi?

Maswali yanaendelea; hivi mzanzibari ni mtu mweusi wa visiwa vya unguja na pemba au ni mtu yeyote mwenye mizizi ya uzawa unguja na pemba bila kujali rangi yake?

Tena niulize hivi sisi wa bara, maadhimisho ya mapinduzi Zanzibar yanatuhusu nini?

Halafu Muungano ulikuwa wa serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi Zanzibar au watu wa Tanganyika na watu weusi wa Zanzibar au watu wa Tanganyika na watu wa Zanzibar bila kujali rangi zao?

Naapa naahidi, mbele ya Mungu, mapinduzi nitakulinda mpaka kufa! Haya mapinduzi bado yako hatarini? Dhidi ya nani? Maadui wa nje ya Zanzibar au wazanzibari wenye asili ya kiarabu?

Maswali ninayo mengi ila navyoona, muungano wa Tanzania ulikuwa kwaajili ya kulinda serikali ya mapinduzi...ni muungano wenye vinasaba vya kibaguzi maana unawabagua wazanzibari kwa rangi zao.

Herini ya siku ya mapinduzi.

Ahlan tabu..
Maagizo ya mwingereza na kanisa Katoliki kwa mwalimu Nyerere.Zanzibar ilihofiwa kuwa ya kikomunist ama Jamuhuri ya kiislamu.Anglican na Katoliki wanamiliki ardhi ,majumba huko Zanzibar lkin pia udini.
 
Unaijua serikali ya kwanza mkuu au umeshiba poropoganda?
Waziri Mkuu aliyepinduliwa Mohamed Shamte.
 
Attachments

  • 20220911_084359.jpg
    20220911_084359.jpg
    29.1 KB · Views: 2
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom