Kulikuwa na sababu gani Simba kutangaza hadharani mambo ya ndani ya Jonas Mkude?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,140
9,323
Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana!

Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi!

Juzi tumesikia sakata la Simba naMchezaji wao Mkude .Kuwa eti anapelekwaa Hositali akapimwe (whatever) Kutokana na matatizo yake ya kinidhamu.

Nimeiuliza mengi Sana kulikuwa na sababu gani kubwa ya kuanika mpango wa huu nje hili si lingefanyika kimyakimyaa kulinda heshima ya Taasisi na Mchezaji.

Ona Sasa huku nje tunavyo piga ramli, anaenda kupimwa akili, bangi, unga nk. Kila baya litasemwa.

Kuna watu kwenye Taasisi ni muhimu na ni wasumbufu lakini Wana mchango mkubwa sana.

Mkude ni mtoto wa Simba, kazi yake Msimbazi itakumbukwa na vizazi kwa nini mapungufu yake ya kibinadamu yasivumiliwe ikishindikana Simba iachane naye kwa staha.

Nani asiye mjua Mario Ballotel huyu kachezea Timu kubwa kubwa, wote tunajua mambo yake.

Hata ktk level za chini kabisa Kuna watu was Aina hiyo.

Niliwahi kuwa kiongozi kanisani. Kuna Mpiga Gitaa wa solo na keyboard alikuwa ni mlevi sana.ila gitaa lake naKinanda ikuwa ni baraka kubwa kanisani. Wazee wa Kanisa wakasema afukuzwe, nilimwendea Mchungaji chemba' nikamwambia Look here ...huyu hafanyi fujo,haatukani, tumvumiliee amtangaze Kristo😆

Nikamtolea mfano wa wazee wake wa Kanisa ambao ni walevi nawamiliki wa Bar kazi ikaendelea.

Mfano wa Pili kwa wakazi wa Dodoma hasa Nkuhungu, kuna Mwalimu wa Shule moja Binafsi ni fyatu'fulani, lakini anajua kufundisha Hesabu balaa...mtoto wako hata kamani slow Learner asipopata C ya Hisabati kwa huyo jamaa Basi katambike.

Simba Mpeni Heshima yake Jonas Mkude Simba.
 
Wewe inatakiwa ukapimwe pia mkojo. Maana inaonekana kama upo kipindi kibaya.
 
Simba ina wadau ambao ni mashabiki, wanachama n.k. Ni jambo la busara kila linalofanyika kuwekwa wazi ili kuondoa sintofahamu yoyote.

Hizo ramli nyie pigeni tu.
Kuna mambo ya Taasisi inatakiwa ijue Menejimenti tu ,hao wanachama na mashbiki wasubirri kushangilia magoli
 
Heshima inaanza na mkude mwenyewe kuheshimu uongozi,kutoheshimu maelekezo ya viongozi wake nikuwavunjia heshima viongozi, hastahili kupewa heshima ambayo yeye mwenyewe ameshindwa kuitoa kwa viongozi na club kwa ujumla wake.
 
Unakumbuka Niyonzima alipokuwa yanga awamu ya kwanza? mulimbanika juani.
Baloteli na Tevez wakiwa mancity walianikwa.
Leo unachojifanya kushangaa hapo nini mkuu?
 
Ukweli ni huu

Mo (1).png
 
Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana!

Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi!

Juzi tumesikia sakata la Simba naMchezaji wao Mkude .Kuwa eti anapelekwaa Hositali akapimwe (whatever) Kutokana na matatizo yake ya kinidhamu.

Nimeiuliza mengi Sana kulikuwa na sababu gani kubwa ya kuanika mpango wa huu nje hili si lingefanyika kimyakimyaa kulinda heshima ya Taasisi na Mchezaji.

Ona Sasa huku nje tunavyo piga ramli, anaenda kupimwa akili, bangi, unga nk. Kila baya litasemwa.

Kuna watu kwenye Taasisi ni muhimu na ni wasumbufu lakini Wana mchango mkubwa sana.

Mkude ni mtoto wa Simba, kazi yake Msimbazi itakumbukwa na vizazi kwa nini mapungufu yake ya kibinadamu yasivumiliwe ikishindikana Simba iachane naye kwa staha.

Nani asiye mjua Mario Ballotel huyu kachezea Timu kubwa kubwa, wote tunajua mambo yake.

Hata ktk level za chini kabisa Kuna watu was Aina hiyo.

Niliwahi kuwa kiongozi kanisani. Kuna Mpiga Gitaa wa solo na keyboard alikuwa ni mlevi sana.ila gitaa lake naKinanda ikuwa ni baraka kubwa kanisani. Wazee wa Kanisa wakasema afukuzwe, nilimwendea Mchungaji chemba' nikamwambia Look here ...huyu hafanyi fujo,haatukani, tumvumiliee amtangaze Kristo

Nikamtolea mfano wa wazee wake wa Kanisa ambao ni walevi nawamiliki wa Bar kazi ikaendelea.

Mfano wa Pili kwa wakazi wa Dodoma hasa Nkuhungu, kuna Mwalimu wa Shule moja Binafsi ni fyatu'fulani, lakini anajua kufundisha Hesabu balaa...mtoto wako hata kamani slow Learner asipopata C ya Hisabati kwa huyo jamaa Basi katambike.

Simba Mpeni Heshima yake Jonas Mkude Simba.
Heshima gani apewe kama hataki kufika kazini? Kama mnamtaka huko Utopolo mchukueni tu yeye mwenyewe ndiyo haitaki tena Simba.
 
Heshima inaanza na mkude mwenyewe kuheshimu uongozi,kutoheshimu maelekezo ya viongozi wake nikuwavunjia heshima viongozi, hastahili kupewa heshima ambayo yeye mwenyewe ameshindwa kuitoa kwa viongozi na club kwa ujumla wake.
Kama wamekuwa Nate kwa miaka kumi ....wanashindwa Nini kumalizana Naye kimyakimya!
Kumbuka kumpeleka mtu kwa daktari ni suala la Siri na linahitaji usiri!
Viongozibwamekosa weledi!
 
Heshima gani apewe kama hataki kufika kazini? Kama mnamtaka huko Utopolo mchukueni tu yeye mwenyewe ndiyo haitaki tena Simba.
Yaani akili za kizamani hizi ...mtu akitoa maoni/kuwa na mtaxamo tofauti na Uongozi was Simba Kisha' kuwa Utopolo!
 
Kuna wakati uongozi unaamua kuliweka wazi tatizo la mchezaji kutokana na upeo wa mchezaji mwenyewe, uongozi hauwezi kufanya hivi kwa wachezaji wanaojielewa mfano Lwanga,Chama na bocco, kumbuka msingi wa ajira za wachezaji ni uwezo wa kucheza sio elimu. Nadhani unaelewa mazingira ya kazi yanavyokua magumu kuongoza watu aina ya mkude
 
Kama wamekuwa Nate kwa miaka kumi ....wanashindwa Nini kumalizana Naye kimyakimya!
Kumbuka kumpeleka mtu kwa daktari ni suala la Siri na linahitaji usiri!
Viongozibwamekosa weledi!
Baadhi ya wachezaji wanatakiwa kuongozwa kulingana na upeo wao mkude yuko simba kutokana na kipaji chake, sio elimu wala upeo mkubwa
 
Uelewa wa utopolo kuhusu kupima afya ndiyo matokeo ya hizo judgements.
Kupima afya ni kuangalia kama mwili una tatizo lolote au la na siyo specific kama ambavyo uto wanadai.
Simba ina viongozi ambao nao wana mapungufu yao lakini kuvumisha sana swala la kupima afya kuwa ni kumkosea heshima Mkude huo ni utopolo kama utopolo mwingine na hauwezi kuwasaidia utopolo wasonge mbele. Tufanye hilo la Mkude ndilo kombe lenu utopolo,,, mmeshinda
 
Back
Top Bottom