Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana!
Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi!
Juzi tumesikia sakata la Simba naMchezaji wao Mkude .Kuwa eti anapelekwaa Hositali akapimwe (whatever) Kutokana na matatizo yake ya kinidhamu.
Nimeiuliza mengi Sana kulikuwa na sababu gani kubwa ya kuanika mpango wa huu nje hili si lingefanyika kimyakimyaa kulinda heshima ya Taasisi na Mchezaji.
Ona Sasa huku nje tunavyo piga ramli, anaenda kupimwa akili, bangi, unga nk. Kila baya litasemwa.
Kuna watu kwenye Taasisi ni muhimu na ni wasumbufu lakini Wana mchango mkubwa sana.
Mkude ni mtoto wa Simba, kazi yake Msimbazi itakumbukwa na vizazi kwa nini mapungufu yake ya kibinadamu yasivumiliwe ikishindikana Simba iachane naye kwa staha.
Nani asiye mjua Mario Ballotel huyu kachezea Timu kubwa kubwa, wote tunajua mambo yake.
Hata ktk level za chini kabisa Kuna watu was Aina hiyo.
Niliwahi kuwa kiongozi kanisani. Kuna Mpiga Gitaa wa solo na keyboard alikuwa ni mlevi sana.ila gitaa lake naKinanda ikuwa ni baraka kubwa kanisani. Wazee wa Kanisa wakasema afukuzwe, nilimwendea Mchungaji chemba' nikamwambia Look here ...huyu hafanyi fujo,haatukani, tumvumiliee amtangaze Kristo😆
Nikamtolea mfano wa wazee wake wa Kanisa ambao ni walevi nawamiliki wa Bar kazi ikaendelea.
Mfano wa Pili kwa wakazi wa Dodoma hasa Nkuhungu, kuna Mwalimu wa Shule moja Binafsi ni fyatu'fulani, lakini anajua kufundisha Hesabu balaa...mtoto wako hata kamani slow Learner asipopata C ya Hisabati kwa huyo jamaa Basi katambike.
Simba Mpeni Heshima yake Jonas Mkude Simba.