Kulikoni website ya chadema?

Status
Not open for further replies.

furahi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
945
195
Nimejaribu kutembelea website ya CHADEMA lakini kuna message "Account suspended" Nini tatizo
 
www.chadema.net inafunguka lakini habari nyingi ni za nyuma. Kwa mfano habari za uchaguzi ni za 2005 za Mbowe alipogombea urais. Wekeni habari za sasa hasa za uchaguzi ili nasisi tulinganishe na matokeo tuliyoyasikia kwye majimbo yetu.
 
Nimejaribu kutembelea website ya CHADEMA lakini kuna message "Account suspended" Nini tatizo

Ni kweli harkers wameingilia. Website address yao imekuwa linked na address ambayo huwezi fungua, na badala yake wapata hiyo meseji ya kutofunguka. CDM management au wataalamu wa computer na mitandao wasaidieni kuwanasua hapo. Hii ni moja ya front za maadui wa CDM wanazozitumia kuwa duu CDM.
 
Mimi niliifungua juzi, naona leo haifunguki. Nadhani wako wanaupdate taarifa zilizo kwenye website maana kama nilivyoeleza taarifa kama za uchaguzi zilikuwepo za 2005 za mbowe wakati alipogombea urais.
Lakini ni vizuri CDM wenyewe wakajibu kama sababu ni updating au vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom