Kulikoni vodacom m-pesa( network tatizo?) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni vodacom m-pesa( network tatizo?)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kottler Masoko, Mar 31, 2011.

 1. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habarini za Kazi Wakuu.

  Kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu kusuasua kwa huduma ya VODACOM M-PESA wanakosema kumesababishwa na kukosekana kwa Network? Au ndo ule wimbo wetu wajinga ndiyo waliwao!! Maana tangu jumapili iliyopita dogo hajapata pesa nilizomtumia ktk M-pesa, amejaribu kuuliza anaambiwa kwamba kuna shida ya Network, MBONA SISI WATEJA HATUJAWEKWA WAZI TUKATAFUTA NJIA NYENGINE?
  Sasa kwa vijisababu kama hivi tutafika kweli ktk huo ulimwengu wa pure digital?

  I WONDER VODACOM WAMEKAA KIMYA, WATU WATAIBIWA BUREEE.
  :angry:
   
 2. H

  Haika JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  cheki nao wenyewe, manake kwangu jana ilikuwa inafanya kazi
   
 3. M

  Mantz Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wasiliana nao kwenye namba hii 15366, ni M-PESA customer care. Wiki hii nimemumia mtu mara 2 na zote amepata bila shida. Mara ya mwisho na jana na ameconfirm kupata jana hiyo hiyo.
   
 4. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wiki hii network imekuwa tatizo. Unaweza kutuma lakini kupokea ni shughuli
   
Loading...