Habari wadau. ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka mbezi mwisho barabara ya morogoro kwenda mbezi beach kupitia goba umesimama hususan kipande cha mwisho upande wa mbezi beach. Hii imesababisha kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo hasa ktk kipindi hiki cha mvua. Barabara imekuwa ndogo yenye mahandaki ya kutosha. Je ni nini sababu ya kusuasua au kusimama kwa ujenzi wa hii barabara. Mwenye taarifa atujuze tafadhali